Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Ukiona mpk my anachomwa anateketea ujue hata polisi walishamchoka.
Wamejichelewesha kusudi ili ateketee afe kabisa
mtaa anaoishi ndugu yangu mmoja kulikuwa na kijana mmoja mwizi busara watu wakawa wanamuonya mpaka mzazi wake lakn akawa hasikii haambiliki siku akaingia kingi. mzazi alikuja kuamka kakuta ameungua kiwiliwili chote kabaki kuanzia kiuno hadi miguuni tu.