Kijana anayeutaka Urais 2030 na kujiona ana uwezo mkubwa wa kuongoza na pesa, ndiye anayeleta vita ya Mpina na Makamba

utamaduni wetu ni kuwa na Rais Christian baadala ya mama... utabiri wangu 2025 anaweza kuja Hussein kumalizia mitano huku na kule Zenji akapewa Nahodha apige mitano...then 2030 anakuja kuwa christian na hii itakuwa pale ambapo CCM Itandelea kuongoza...sio upinzani wowote unaoweza kupewa au kuchukua 2025 mpaka 2030 labda 2050 nayo itategemea na namna CCM itakavyokuwa 2030 to 2040..
 
We una akili kweli au umetumwa? Sisi tunazungumzia 2025 tunataka rais mpya wewe unatuambia 2030? Wacheni porojo kupotosha maboya. Sasa hivi ni kama nchi haina rais. Rais amekalia mipasho ya kiswahili.
Nchi inahitaji magufuli mpya haraka sana. Hamuoni chini ya mama nchi imeshuka kiuchumi toka uchumi wa kati. Tangu ameingia tumeona kila dalili za ubadhilifu na kutoa signal kwamba yeye ni laisse fair. Ameanza na kuparamia midege ya air tanzania kama usafiri wake mikoani. Dodoma hakai kila leo yuko dar. Halafu misafari ya nje eti kujijulisha kwa majirani. Halafu kuwaandama vijana wa jpm kama vile sabaya na kumfunga. Yote inatoa message kwa mafisadi wazembe micheti feki na wakwepa kodi kwamba 'sasa mnaweza anza'
 
Mtajuana wenyewe
 
Ccm hamtaki wataka madaraka mapema, ila ww unamjua atakayekuwa Rais hiyo 2030! Na mtapiga hela sana kwa hilo group la Msoga line linalotaka urais kwa nguvu. Uniite na mimi kwenye hiyo asali ya wasaka urais tupige hizo hela za kuwapaka rangi.
Tulambe wote hahah wala si msoga tunarejesha kanda ya ziwa
 
Kweli makamba ameiba hela nyingi kwa ajili ya kujipanga na uraisi. Yeye ameona asitumie ile njia aliyotumia mwizi mwenzie ya kuchora mawe. Makamba yeye amedeal na watu mitandaoni,kote tred ni makamba makamba. Hawa ndio wanaotuharibia nchi yetu
Wotee hawafai!! Mdogo wake February hafai na Riz-moja hafai!! Urais siyo shamba la kurithishana!
 


King master mind na Joppo 2030 watakuwa na miaka mingapi…

Kwa kifupi mimi mtazamo wangu by 2030 ingependeza majina kama Makamba, Kikwete, Mwinyi etc yasijitokeze kwenye kinyang’anyiro cha uraisi…we need new blood, new spirit and new Tanzania
 
Makamba fala tu
 


Mabeyo ., Mwigulu, Masele , Kassim Majaliwa ( kama dini ingeluusu)
 
Ndio Rais wako huyo mwaka 2030, hutaki hama Nchi,

Nyie watu wa kanda ya ziwa mna roho mbaya Sana,japo sio wote, kwa suala la nafasi ya urais msahau kabisa kabisa,syteam tushajifunza mno
Ni bahati mbaya kwako Kanda pendwa ya Ziwa ndiyo factor kuu ya kumpata rais wa JMT.Ngumu kumeza lakini ndiyo asili
Dikteta ndio hakuwai kuajiri kwa kipindi chake chote,Wala kupandisha madaraja kwa watumishi,

Sukuma gang bado mna maruweruwe ya kufiwa na mungu wenu,

Halafu wewe utakuwa bwabwa,Sasa hivyo vi-emoj umeweka vya Nini,
Mkuu wakati unaendelea kuwananga Hawa jamaa zetu sukumaland kumbuka wanazo namba za kutosha. Kwa takwimu zilizopo Mwanza,Geita, Shinyanga na Simiyu idadi ya 11.5millioni hao ndiyo kina ngosha,wakiomba msaada kwa majirani zao Mara na Kagera ambao naowana idadi ya 5.6million wanagota 17.2millioni.Siasa ni namba, acheni kuwachokoza. Maana 2015 walithibisha population muscles inavyofanya kazi
 
Me najua Raisi wangu 2025 ni Mbowe na atatawala mpaka 2035 kwa mujibu wa katiba.hayo ya wakina sijui February mnayajua nyie ccm.
 
Mmeshaza kugombanisha familia za wastaafu wetu komeni kumgombanisha mzee kinana na wastaafu wezake kikwete na makamba
 
Kwa Kakobe au kwa Gwajima ??!
 
Utakuwa umeshafariki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…