Kijana anayeutaka Urais 2030 na kujiona ana uwezo mkubwa wa kuongoza na pesa, ndiye anayeleta vita ya Mpina na Makamba

Niliongea mara nyingi kwamba shida hapa ni Urais baada ya Samia sasa tishio ni Makamba JR na Mwigulu Nchemba..

Mwingine anaewatisha Sukuma gang ni Bashe labda na Ummy ila favourite ni hao wawili hapo juu ndio maana wanahaha kila Kona kumchafua..
 
Mkuu angalia usije ukajikojolea kitandani na ndoto zako za Mwinyi kuwa Rais huku Bara
 
Pamoja na vyote hivyo hakuna Rais aliye deliver kushinda Samia,narudia tena hayupo..

Mengine ni uzushi wa kitoto.Nani atatoboa mbona hili swali mnakwepa kujibu?

Nani wa kusimama na Samia 2025?
 
Hivi kweli unafikiri nakuwaza eti kamba itafunga mzigo? Nadhani huwinuwi cc... Yaniiiii mmmmmmmmm
 
Huu sio utabiri ni zile ndoto kama za John wa Chato..

Samia akiwa hai,anzeni kujipanga 2030,,binafsi mimi ni mkristo ila kwa uzoefu wa Nyerere,MKapa na Mwendazake ni wazi Wakristo ni watu wasio na maadili na huwa ni wezi wakubwa na mbaya zaidi ni roho mbaya huwa wanavuruga Sana uchumi wa watu..
 
Atateuliwa kugombea yule ambaye hata hasikiki kabisa kwamba anataka kugombea Urais, Ccm ndivyo walivyo ! Labda kama wameanza kubadilika ! Maana imeanza kuonekana sasa Ccm inakosa au inaelekea kukosa think tank madhubuti kama zamani ! Wengi wameshatangulia mbele ya haki na wengine wameshazeeka !! Kazi IPO !!
Niliongea mara nyingi kwamba shida hapa ni Urais baada ya Samia sasa tishio ni Makamba JR na Mwigulu Nchemba..

Mwingine anaewatisha Sukuma gang ni Bashe labda na Ummy ila favourite ni hao wawili hapo juu ndio maana wanahaha kila Kona kumchafua..
 
January Makamba is smartest.....

Bashe follows the lead......

#Siempre JMT🙏
 
Mpaka akifika 2025 atakuwa kachafuka hafai ila yy haja stuka ni kinafanyika nyuma yake
 
Usikariri,kama hivyo ndio kanuni kelele za kumshambulia Makamba zinatoka wapi?
 
Wewe binafsi "binti anika" unawaza kwa kutumia Tumbo badala ya Kichwa.

Sikuona lingine zaidi la kuweza kukuambia zaidi ya hilo @britanica

Ni ujinga uliopitiliza kuendelea kuwaaminisha watanzania wa leo kwamba kina kinana na Genge la Wahuni wake ndani ya CCM ndio wenye dhamana ya kutuchagulia Rais wa nchi hii 2025.

Tunahitaji sheria mpya ya uchaguzi, yenye kuruhusu wagombea huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…