Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 925
Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake
Ndio maana huwa mnalogwa. Mvumiliwe na wengine, mkijipata muoe wengine.Huyo Mwanamke mbona Kama mkubwa Sana anabidi Akipata Job atafute mke wa size yake
Huyo ndiye sahihi kabisa.Anafuata miongozo ya mtume wetu.Huyo Mwanamke mbona Kama mkubwa Sana anabidi Akipata Job atafute mke wa size yake
Muache kijana ajivinjari na mtoto mbichi.Anamvumilia au anamuharibu akili Kijana , Huyo Kijana sifikirii Kama ni sahihi kuishi na Mwanamke wa hivyo.
Asee mbona unaingilia "mapenze" ya watuu?Huyo Mwanamke mbona Kama mkubwa Sana anabidi Akipata Job atafute mke wa size yake
BaelezeeNdio maana huwa mnalogwa. Mvumiliwe na wengine, mkijipata muoe wengine.
Kwa kweli.Ndio maana huwa mnalogwa. Mvumiliwe na wengine, mkijipata muoe wengine.
😂😂😂😂Mbona kama wamefanana? au labda ni bibi yake anamuita Mume kwa utani
Bora kurogwa Ila Huyo Mwanamke sio size atuachie sisi wazee yeye atafute size yakeNdio maana huwa mnalogwa. Mvumiliwe na wengine, mkijipata muoe wengine.
Maisha magumu tunapitia tunakunywa tu, tutoe stress kichwani tulale hatujitambui 🙌 🤣🤣🤣🤣Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake
HahahahaNdio maana huwa mnalogwa. Mvumiliwe na wengine, mkijipata muoe wengine.
Kuna kazi zina maadili na heshima yake ,Jamaniii msomi wa uhandisi ndo kafikia huku? Vipi huyu nae ni GAY? Maana najua Gays ndo hawa ajiriwi hapa nchini hata km wamesoma.
Poleee yake sana, hivi kasoma chuo ganii? Hadi huruma maskinii, kadata afu kadata tena.
Woiiiiiih 😂😂😂😂😂😂