Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake

Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake

Nilichomsifu huyo mwanamke yupo makini anajua madhara ya pombe na anapambana Kuacha yeye na mumewe. Vile vile yupo makini Sana anapohojiwa. Nimeona hapo mwandishi anamwambia mambo ya kukariri ya inshallah hapo hapo akakiri Imani yake kuwa yeye ni MKRISTU na hiyo inshallah hamuhusu. Jambo kama hili ni kubwa Sana kiimani na amemfundisha kitu huyo mwandishi na watu wengine wanyesha watu wengine salamu, maneno ya dini zao au lugha za Imani zao kwa makusudi wakiwa wanaojua au kutoka kujua Imani ya huyo mtu.
Inshallah mkuu
 
Huenda wameamua Tu kufanya social fun mara nyingi walevi wa hizi mataputapu hutaniana sidhani km kamuona kweli labda huwa anaipiga piga tu
Kweli aisee,yani demu sawa na bibi yake ndo anamuita mke imenishangaza..afu wote walevi
 
Hadi nirahisi kutetemeka moyo , huruma ya Mungu imuangazie ,mchizi asikuache Shem ila ajitahidi akipata pesa ahakikishe mishahara mitano ya mwanzo waielekeze kwenye afya tu kuanzia chakula na vidonge mbalimbali vyakuondoa sumu mwilini wanaweza wakarejea kwenye muonekano mzuri japo dah! Tusali sana wazee
 
Mh!huyo mke sasa.Hata kama ndo pombe zimemzeesha na Ka umri pia kameenda.Hela ya pombe wanatoa wapi sasa.Huyo dada si auze hata maandazi mtaani au mboga mboga.
 
Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake

Hapo hakuna mke na mme hapo. Ni walevi fulani tu wamejikatia tamaa wanapeana uroda!

Halafu huyu kijana tangu anasoma ndio alikuwa hivi au amebadilika baasa ya kukosa kazi! Mana kupata kazi za kuajiriwa kunaangaliwa mambo mengi siku ya intavyuu hapa bongo hadi uongeaji tofauti na kwa Wachina ukifika unapewa vitendea kazi
 
Back
Top Bottom