Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Unajidanganya. Ndio maana kila siku mnaanzishiwa thread humu
 
Mpunga haujitangazi mkuu...gari mavazi kila mtu anayaona...na rahisi mtu kukutafuta sasa hela utakaa barabarani na kutangaza una hela??
Ndo maana huwa mnakosa wanawake, we kwani nikimfuata nimecha gari home kwangu, hafu akanieleza shida zake akakuta zinatatuliwa, hafu we unaenda na gari lako hata pesa ya mafuta ya kuungaunga nani ataaminiwa haraka?
Mwanamke uchawi wake ni pesa ukimpa utaona anavyochanganyikiwa
 
Kijana tafuta hela, hizo nyingine ni mbwembwe tu
Mimi Nimekuelewa, mbona mimi nipo kivyangu vyangu lakini mademu wanashoboka ni vibaya, kila siku mademu wananifuata wenyewe bila hata kuwatongoza tena ni wa maana. viwanja ninavyoingia lazima nichafue meza kwa vinywaji na vya kutafuna tafuna, kuku choma zinapishana kwa muda maalum vinywaji ndio full time. hata siku moja siwezi kula ugali na kachumbali ili niwe na vitu vya thamani ili nimvutie demu. Ni action zangu tu zitawakusanya
 
Yaani una hela huna gari??
 
Kama hauko smart na pesa zako utaishia kuhonga na utawekwa nyuma ya mlango huku wenzako wanaojua matumizi wakiwekwa kwa status 24/7
 
Unakuwaje simple by wearing expensive brands??? Hadithi yako inafundisha uvae expensive stuffs to catch someone’s eye. Asa kama kazi yako polisi unaambia mtu habari za armani na gucci, u must be kidding.
 
Ukiisoma thread kwa umakini utajikuta humo ndani. Just read between the lines!!
 
Kama hauko smart na pesa zako utaishia kuhonga na utawekwa nyuma ya mlango huku wenzako wanaojua matumizi wakiwekwa kwa status 24/7
Tatizo we unabisha tu, kwahiyo utahonga gari? Au ataishi nyumba ya kupanga hadi azeeke? Wanawake huwa wanahesabu za mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…