mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Binti Kimoso eti jamaa alikuwa hahudumii kipindi cha uchumba?
Mwanaume akikosa pesa huwa na mipango mingi na maelezo mengiii yasiyokuwa na mwisho.
Kubali huna pesa na ndio maana huwezi kuhonga.
Wenzio wanahonga sio pesa tu mpaka nyumba magari Vito na madini ya thamani.
Tunajifua au kujipima kwanza a.k.a field tuone kama tutawezana kwenye ndoa
Binti Kimoso eti jamaa alikuwa hahudumii kipindi cha uchumba?
Usishtue wajinga acha waendelee kuhonga ili sisi wenye malengo na pesa zetu tusisumbuliwe , demu tunakula wote boya mmoja anahonga sisi pesa yetu tuna save kufanya maendeleo na huyo demu mwenyewe hatuna malengo nae akiamue apite hivi fresh tu
Maneno yote kumbe unataka watu tuoeMpo Salama!
Kumhudumia Mchumba au mpenzi wako huwezi Sifiwa Wala kuonekana mwanaume wa maana mahali popote pale zaidi ya kuonekana kijana asiyejitambua.
Wazazi wako wenyewe waliokuzaa wakisikia kitu kama hicho watakuona hamna kitu.
Ukitaka ujue Jambo hili, siku huyo mwanamke akuache ndio utajigundua kuwa ulikuwa mpimbwe (mtu maamuma).
Kama mwanamke hawezi kujihudumia kwa matumizi yake binafsi huyo hakufai. Kama wao wenyewe wanavyokuona wewe nawe waone vivyohivyo. Kipimo wanachokupimia kitumie hichohicho kuwapimia. Hiyo ndio namna ya kuyakabilia maisha yako kijana wangu.
Akikuambia atachukuliwa na mtu mwingine mwambie aende tuu salama. Nawe utapata mwingine. Usiwe Mjinga.
Kama hawezi kujihudumia mwenyewe achana naye. Atakusumbua huyo.
Hudumia Mkeo. Huo ndio uanaume.
Lakini sio kuhudumia mpenzi au Mchumba huko ni kutokujitambua.
Kama unahisi unakiherehere cha kuhudumia muweke ndani awe Mkeo umhudumie huyo mtoto mzuri.
Moja ya ishara ya kuwa huna Akili na kizazi chako kitakuwa Maskini ni kuangalia matumizi yako binafsi. Vipaombele vyako.
Mwenye jukumu la kumtunza mwanamke ambaye hajaolewa ni Babaake, au ndugu zake wa kiume.
Ukishamuoa ndio unakuwa na huo wajibu.
Kupeana zawadi ni Jambo la kawaida kwa Watu wanaopendana.
Lakini kumhudumia mtu ni suala la kiwajibu na kimajukumu na yapo chini ya Sheria za asili, za Dini na Sheria za nchi.
Sheria zote hizo hazikuruhusu kumhudumia Mchumba au mpenzi. Ogopa matapeli!
Jioni njema
Maneno yote kumbe unataka watu tuoe
Mwanaume yeyote mwenye fikra za kudhani kuwa mapenzi ya mwanaume kwa mwanamke ni wajibu na mapenzi ya mwanamke kwa mwanaume ni hisani huwa ni mwaume dhaifu na mjinga.Binafsi Vitu vya bure bure sifagilii.
Hata K ya bure bure Siitaki, Lazima nigharamie bila shuruti.
Yatakua mapenzi gani, Nishindwe kumnunulia Demu wangu hata Mafuta, Perfume, sijui vocha kmmke.
Wachache sana wanaoitoa bure bila kuolewaSio kweli,mbususu ni bidhaa kwasasa huwez pewa bure
Huna pesa ya kuhonga na ukiipata utahongaSema wanaume wajinga.
Wapo wenye pesa wanaojitambua Sana
Kauli yako inawasumbua wanaume misukule
Huna pesa ya kuhonga na ukiipata utahonga
Upo sahihi kabisa Mkuu ujumbe mzuri Sana .
Mwanaume yeyote mwenye fikra za kudhani kuwa mapenzi ya mwanaume kwa mwanamke ni wajibu na mapenzi ya mwanamke kwa mwanaume ni hisani huwa ni mwaume dhaifu na mjinga.
Kwani kipindi mnafanya hiyo ngono ambayo unasema ni wajibu wako kuinunua anaye pata raha na sitarehe ni ww tu yeye anakuwa ana pata maumivu? Au yeye ahitaji hiyo ngono kwenye maisha yake?
Kama kuhonga na kuhudumia ndo mapenzi mbona mnahonga hadi magari na bado mademu zenu wanaliwa na bodaboda na wanyoa viduku ambao hawawapi hata mia tena mademu zenu ndo wanawahonga kwa kutumia hizo hela mnazo wahonga?
Kwenye uchumba na upenzi kuna kupeana zawadi tu na si kuhudumiana, na kupeana zawadi kusiwe kwa upande mmoja, ww kila siku ww ni kumpa zawadi tu mara simu, mara viatu, mara abaya, mara vocha, mara gauni zuri lakini yeye miaka miwili ya mapenzi hata tisheti ya mtumba inayo uzwa buku hajawahi kukupa hayo wanakuwa sio mapenzi bali ni utumwa.
Sema zawadi ni muhimu unaweza kuta penzi limekufa tu lenyewe.
Hakuna uhusiano kati ya kuhonga na kuwa na hela au kutokuwa na hela,bali kuhonga ni huruka tu wapo wasukuma toroli wanao ingiza 10,000 tu kwa siku lakini zote zinaishia kwenye kuhonga wakati huo kuna mfanyabiashara anaingiza faida ya milioni 100 kwa mwezi lakini huwezi kula pesa yake kizembe kizembe.Mwanaume akikosa pesa huwa na mipango mingi na maelezo mengiii yasiyokuwa na mwisho.
Kubali huna pesa na ndio maana huwezi kuhonga.
Wenzio wanahonga sio pesa tu mpaka nyumba magari Vito na madini ya thamani.