Kijana huna wajibu wa kumhudumia Mchumba au mpenzi wako. Usiwe Mjinga

Kijana huna wajibu wa kumhudumia Mchumba au mpenzi wako. Usiwe Mjinga

Ni mutual benefit ndo mana ana jinsia tofauti, au unataka wahudumie masela wao, haya mambo ni hiyari halafu pia ni natural hata wanyama na ndege wa mwituni hufanya.
 
Ila ukweli wanaume katika jambo hili tumeanguka sana na lina changia kukwamisha maendeleo yetu , na jinsi wanawake walivyo, ukimhudumia yeye wala hataangaika na mambo yako ya msingi kimaemdeleo , yeye atajali kupewa huduma basi
 
Japo nimesoma heading tu! Hayo ni mawazo ya wasiokuwa na heraaa
Nyie ndio aina ya wale wanaume mkioa unataka kujua kipato cha mkeo na mkigawe pasu katika matumizi ya familia.
Wanaume wenye hela hawanaga huo uijnga
Hakuna uhusiano kati ya kuhonga na kuwa na hela na kutokuwa na hela kuna masikini ni wahongaji hatari yuko tiyari yeye alale njaa lakini amuhonge demu wake kitu alicho muomba na kuna matajiri hela yake kuila ni umeitolea jasho kisawasawa.

Alafu ww kama mzazi unaruhusuje mtoto wako ahudumiwe na mwanaume mwingine zaidi yako?
 
Basi maze wew ur
Kumkula unamaanisha nini?

Ninyi ndio wale elimu ndogo Mnaofikiri wanawake hawasikii Raha na hawana Hamu ya Ngono.

Wewe ukimpa Raha unapewmade wew utaka

Kumkula unamaanisha nini?

Ninyi ndio wale elimu ndogo Mnaofikiri wanawake hawasikii Raha na hawana Hamu ya Ngono.

Wewe ukimpa Raha unapewa sh ngapi
Tafuta hela acha maneno iyo nilazima kumhudumia mtu unamkula!!! Kama utak mzae wakwako ndy upelekee moto bila kumuhudumia
 
Hakuna uhusiano kati ya kuhonga na kuwa na hela na kutokuwa na hela kuna masikini ni wahongaji hatari yuko tiyari yeye alale njaa lakini amuhonge demu wake kitu alicho muomba na kuna matajiri hela yake kuila ni umeitolea jasho kisawasawa.

Alafu ww kama mzazi unaruhusuje mtoto wako ahudumiwe na mwanaume mwingine zaidi yako?
Matajiri wanahudumia jamani kama pesa ya mawazo acha wanaoeza kuhudumia wahudumie bila hata kujiuliza
 
Matajiri wanahudumia jamani kama pesa ya mawazo acha wanaoeza kuhudumia wahudumie bila hata kujiuliza
Mtu kama ni bahiri ni bahiri tu haijalishi atatajirika kwa kiasi gani na mtu kama ni mtoaji ni mtoaji tu hata kama kipato chake ni kidogo.
Ukiona mtu ni tajiri na anatoa jua ndo asili yake tu na sio kwamba eti anatoa kwasababu anazo, na ukiona mtu ni masikini na ni mgumu kutoa jua ndo asili yake na sio kwamba hatoi kwasababu yeye ni masikini.
 
Yeye anafanya hayo?
Kama anafanya Sawa upo Sahihi lakini kama hafanyi na unaona Sawa ujue unatatizo la MSINGI.

Mapenzi ni huduma ambayo mnahitajiana, yeye anashida na wewe unashida. So huo ubure unatoka wapi?

Au unadhani wao hawana genye??

Wewe ukimridhisha Mchumba wako au mpenzi wako kitandani anakulipa Kiasi gani?

Malipo yake ya kwanza ni Heshima, Kunijali na kunipa hyo Tamu yake, Niivuruge Mwili wangu ukae sawa.

Hapo lazima Vuchenzi apate + Vizawadi. Lkn hivi vyote vinafanyika bira shuruti wala shinikizo lolote.
 
Mimi narudia, vijana usitembee na mwanamke aliyekuzidi matatizo au shida zeke zinazidi zako
 
Ukiwa na akili za Kitibeli kama nilichoandika ndoa haiwezi kukusumbua kamwe.

Lakini ukiwa na akili mgando kufanya wajibu na majukumu yasiyo kuhusu, kutojitambua kama mwanaume ndoa lazima ikusumbuena wanawake lazima wakugeuze kibla
so unatushauri tuoe!!! alafu mahari 3M mpaka 4M then baada ya week mtifuano huko ndani na hujamkuta bikra ,mimi natafute ambaye mahari ni laki 5 hapo tutaongea lugha moja hata akitoroka usiku wa manane kwenda kwao haina shida
 
Back
Top Bottom