Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 1,326
- 1,451
🤣🤣🤣si inatokea tu wakati tunatest mitambo alafu ke hasemi kama yuko danger day ,chezea lile joto weweNyie wanaume muache kukataa mimba ilo msiongeze single maza
🤣🤣🤣si inatokea tu wakati tunatest mitambo alafu ke hasemi kama yuko danger day ,chezea lile joto weweNyie wanaume muache kukataa mimba ilo msiongeze single maza
Kuhonga ni kama tabia, kuna jamaa yangu anaweza asile ila ahonge, kuna kipindi yupo chuo alihonga pesa ya ada kumlipia ada demu wake, imagine.Huna pesa ya kuhonga na ukiipata utahonga
We dogo hata hao wa buku mi siwapi hata mia 😂😂Mi siwezi pangiwa maisha yaani mtoto wa watu anajitoa hivi kwangu...
Lzima tahudumia tuu
Mi sihudumii kwa mishangazi only..
Imagine huyu wa sasa ana hardware store mbili alafu nihudumie na hii ela ya boom am i mad..
Ila hawa watoto wa 2k tahudumia ila sitosema sana maana hizi ni tabia za Vishu Mtata
Hakuna tuzo ya ubahiri kaka 😂😂😂🙌🙌We dogo hata hao wa buku mi siwapi hata mia 😂😂
Nanywea bia mzee😂😂Hakuna tuzo ya ubahiri kaka 😂😂😂🙌🙌
Tafuta hela, mtu mwenye pesa anahonga kwa kumwaga pesaUsishtue wajinga acha waendelee kuhonga ili sisi wenye malengo na pesa zetu tusisumbuliwe , demu tunakula wote boya mmoja anahonga sisi pesa yetu tuna save kufanya maendeleo na huyo demu mwenyewe hatuna malengo nae akiamue apite hivi fresh tu
Kumbe wote pamoja na ye ye MTIBELI, hatuna magari japo Mimi nahonga Ila gari sina, pengine ningeacha kuhonga ningekuwa na gariWewe mpaka sasa ujajibu kwanini huna gari na ulikua uhongi
😂😂😂😂😂 Huyu jamaa mke wake alimwandikia pdf kabisa atoe sababu kwanini mpaka umri huo.hana gari....Kumbe wote pamoja na ye ye MTIBELI, hatuna magari japo Mimi nahonga Ila gari sina, pengine ningeacha kuhonga ningekuwa na gari