Kijana huna wajibu wa kumhudumia Mchumba au mpenzi wako. Usiwe Mjinga

Mpo Salama!

Kumhudumia Mchumba au mpenzi wako huwezi Sifiwa Wala kuonekana mwanaume wa maana mahali popote pale zaidi ya kuonekana kijana asiyejitambua.
Wazazi wako wenyewe waliokuzaa wakisikia kitu kama hicho watakuona hamna kitu.

Ukitaka ujue Jambo hili, siku huyo mwanamke akuache ndio utajigundua kuwa ulikuwa mpimbwe (mtu maamuma).

Kama mwanamke hawezi kujihudumia kwa matumizi yake binafsi huyo hakufai. Kama wao wenyewe wanavyokuona wewe nawe waone vivyohivyo. Kipimo wanachokupimia kitumie hichohicho kuwapimia. Hiyo ndio namna ya kuyakabilia maisha yako kijana wangu.

Akikuambia atachukuliwa na mtu mwingine mwambie aende tuu salama. Nawe utapata mwingine. Usiwe Mjinga.

Kama hawezi kujihudumia mwenyewe achana naye. Atakusumbua huyo.

Hudumia Mkeo. Huo ndio uanaume.
Lakini sio kuhudumia mpenzi au Mchumba huko ni kutokujitambua.
Kama unahisi unakiherehere cha kuhudumia muweke ndani awe Mkeo umhudumie huyo mtoto mzuri.

Moja ya ishara ya kuwa huna Akili na kizazi chako kitakuwa Maskini ni kuangalia matumizi yako binafsi. Vipaombele vyako.

Mwenye jukumu la kumtunza mwanamke ambaye hajaolewa ni Babaake, au ndugu zake wa kiume.

Ukishamuoa ndio unakuwa na huo wajibu.

Kupeana zawadi ni Jambo la kawaida kwa Watu wanaopendana.
Lakini kumhudumia mtu ni suala la kiwajibu na kimajukumu na yapo chini ya Sheria za asili, za Dini na Sheria za nchi.

Sheria zote hizo hazikuruhusu kumhudumia Mchumba au mpenzi. Ogopa matapeli!

Jioni njema
Sawa, kumpa mwanaume ambaye hajakuoa pia siyo sahihi
 
Mpo Salama!

Kumhudumia Mchumba au mpenzi wako huwezi Sifiwa Wala kuonekana mwanaume wa maana mahali popote pale zaidi ya kuonekana kijana asiyejitambua.
Wazazi wako wenyewe waliokuzaa wakisikia kitu kama hicho watakuona hamna kitu.

Ukitaka ujue Jambo hili, siku huyo mwanamke akuache ndio utajigundua kuwa ulikuwa mpimbwe (mtu maamuma).

Kama mwanamke hawezi kujihudumia kwa matumizi yake binafsi huyo hakufai. Kama wao wenyewe wanavyokuona wewe nawe waone vivyohivyo. Kipimo wanachokupimia kitumie hichohicho kuwapimia. Hiyo ndio namna ya kuyakabilia maisha yako kijana wangu.

Akikuambia atachukuliwa na mtu mwingine mwambie aende tuu salama. Nawe utapata mwingine. Usiwe Mjinga.

Kama hawezi kujihudumia mwenyewe achana naye. Atakusumbua huyo.

Hudumia Mkeo. Huo ndio uanaume. Lakini sio kuhudumia mpenzi au Mchumba huko ni kutokujitambua.
Kama unahisi unakiherehere cha kuhudumia muweke ndani awe Mkeo umhudumie huyo mtoto mzuri.

Moja ya ishara ya kuwa huna Akili na kizazi chako kitakuwa Maskini ni kuangalia matumizi yako binafsi. Vipaombele vyako.

Mwenye jukumu la kumtunza mwanamke ambaye hajaolewa ni Babaake, au ndugu zake wa kiume.

Ukishamuoa ndio unakuwa na huo wajibu.

Kupeana zawadi ni Jambo la kawaida kwa Watu wanaopendana.
Lakini kumhudumia mtu ni suala la kiwajibu na kimajukumu na yapo chini ya Sheria za asili, za Dini na Sheria za nchi.

Sheria zote hizo hazikuruhusu kumhudumia Mchumba au mpenzi. Ogopa matapeli!

Jioni njema
Nasubiria muamala ulioniahidi 😁
 
Sawa, kumpa mwanaume ambaye hajakuoa pia siyo sahihi

Sasa kwa mtu mwenye akili timamu uliwahi kumuona anaweza kufanya Jambo hilo?

Ni aidha Akili zake hazipo Sawa
Au umri umemtupa Mkono kazeeka na anataka Binti mdogomdogo huyo yupo Sawa kwa Sababu Hana cha ku-offer

Lakini kijana mwenye akili zake, nguvu zake, na umri wa Miaka 18-45 ukimuona anahudumia mwanamke ambaye sio mkewe au mzazi wake ujue hajitambui huyo.
 
Timu kataa ndoa Robert Heriel Mtibeli labda nifanyiwe maombezi

Ukiwa na akili za Kitibeli kama nilichoandika ndoa haiwezi kukusumbua kamwe.

Lakini ukiwa na akili mgando kufanya wajibu na majukumu yasiyo kuhusu, kutojitambua kama mwanaume ndoa lazima ikusumbuena wanawake lazima wakugeuze kibla
 
Sasa kwa mtu mwenye akili timamu uliwahi kumuona anaweza kufanya Jambo hilo?

Ni aidha Akili zake hazipo Sawa
Au umri umemtupa Mkono kazeeka na anataka Binti mdogomdogo huyo yupo Sawa kwa Sababu Hana cha ku-offer

Lakini kijana mwenye akili zake, nguvu zake, na umri wa Miaka 18-45 ukimuona anahudumia mwanamke ambaye sio mkewe au mzazi wake ujue hajitambui
Kutokumjali mpenzi wako ndiyo mwanzo wa kucheatiwa, hizo zama unazoongelea wewe naona ni zama za kale
 
Mi siwezi pangiwa maisha yaani mtoto wa watu anajitoa hivi kwangu...
Lzima tahudumia tuu

Mi sihudumii kwa mishangazi only..
Imagine huyu wa sasa ana hardware store mbili alafu nihudumie na hii ela ya boom am i mad..

Ila hawa watoto wa 2k tahudumia ila sitosema sana maana hizi ni tabia za Vishu Mtata
 
Unaogopa mtu ku-cheat kwa Tabia yake kwa kisingizio cha kijinga kama hicho.

Umalaya ni Tabia na hauna uhusiano na hicho unachojaribu kukieleza.

Huduma anapewa Mke au Mume
Mpenzi au Mchumba hayupo kwenye hadhi au DARAJA la kuhudumiwa na ndio maana huwezi kumshtaki popote.

Kama ni Umalaya ufanye tuu.lakini huduma nope
 
Mi siwezi pangiwa maisha yaani mtoto wa watu anajitoa hivi kwangu...
Lzima tahudumia tuu

Mi sihudumii kwa mishangazi only..
Imagine huyu wa sasa ana hardware store mbili alafu nihudumie na hii ela ya boom am i mad..

Ila hawa watoto wa 2k tahudumia ila sitosema sana maana hizi ni tabia za Vishu Mtata

Hakuna aliyekukataza Mkuu kufanya hivyo.

Lakini Alpha male hawezi kufanya kama wewe.
 
Japo nimesoma heading tu! Hayo ni mawazo ya wasiokuwa na heraaa
Nyie ndio aina ya wale wanaume mkioa unataka kujua kipato cha mkeo na mkigawe pasu katika matumizi ya familia.
Wanaume wenye hela hawanaga huo uijnga
 
Back
Top Bottom