Kijana huyu kaniumiza sana ndugu wabaya sana

Kijana huyu kaniumiza sana ndugu wabaya sana

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hello

Hii kitu ni ya ukweli kabisa sio kutunga nimeshuhudia kulikuwa na usahili hivi juzi huyu kijana unasemekana kwao ana chezewa na ndugu zake kapatwa na matatizo ya kutosikia kabisa mpaka uwe jirani yake ndio umshute aelewe kinacho ongeleka ila nje ya hapo hasikii

Wakaita jina lake kwaajili ya kuhakiki muhusika yupo hasikii wenzake wanao mfahamu ndio waka mwambia jina lako limeitwa ndio kwenda

Kuja kuulizia naambiwa ndugu zake wana mchezea yule usiku anaweza amka na kuanza kutembea mwenyewe au mda mwingine ana jikaba mwenyewe imagen mtoto wa mwenzio una mpa mateso kama haya kweli ase nimeumia sana

Cha ajabu baada ya usahili kuisha juzi nampigia simu rafiki yake kujua maendeleo yake ana niambia now ana anza kusikia ila usiku bado ana endelea kuamka

Hivi wachawi mnatakaga nini najua humu mpo shida nini mnatesa watu naumia sana
 
Tunaomba wakamchezee kizi.. mka
Kizimkazi hakai kizembe. Kuna madude toka ujombani Oman na Yemen. Ukienda kizembe unakata roho.

Yapo nyuma yake saa zote.
Screenshot_20250125_203148_Gallery.jpg
 
Ni mtihani sana, Kuna mama mwanae anasoma na mwanangu darasa la tano sasa ule urafiki wao ukapelekea sisi wazazi kufahamiana.
Ikatokea watoto wetu wamegombana wenyewe huko shule tukawapatanisha lakini nikaona kama yule mzazi hakua karibu nami kama mwanzo (dhana ni mbaya)
Wiki iliyopita yule mama akanipigia mama flani nisamehe sijakutafuta muda mrefu nimepata mtihani toka tar 20/12 mtoto kaamka ghafla hasikii ameshazunguka hospital kubwa hapa dar lkn ndio imekua hvyo mtoto amepoteza usikivu
 
Back
Top Bottom