Kijana jiepushe na kupiga mipira iliyokufa

kwanini

unamuitaje mwanamke alieta uhai ‘mpira uliokufa’
mtoa mada ana personal grudges zake nadbani
Mbona nyie huwa mnawaita wanaume majina ya ajabu na hakuna kitu mnaambiwa mkaelewa hebu tulia dawa ikuingie.
 

Well said hujakosea hata nukta
 
Dead balls zina advantage ya kuscore kwa urahisi to me nitadeal na mipira iliyokufa mpaka siku nitayokufa
 

Single mother hata kama ni shangazi yako,dada yako,mama yako!,haibadilishi ukweli
 
Vile napenda single moms ( mipira mibovu) siwezi nikafuata huo ushauri wako!
 
Wa Dada pia chukueni hii, kubali mwanaume ambae yupo kwenye peak yake
Sasa wewe ndie bure kabisa, wanaume kwa 90% huwa kwenye peak kuanzia miaka 30+.

Wewe unawashauri wenzako waende kule kule ambapo wanakomoka? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kiazi kabisa.

Mwanaume wa miaka 30+ mwenye mafanikio wewe utakuwa pekee yako?

Kwan kila siku tunavyowalaumu masingle mothers hapa unadhani ni kwasababu wanatoka na vijana ambao hawapo katika peak level si ni wanaume hao waliopo katika peak?

Ngoja nikusaidie elimu kidogo. Mwanaume akiwa katika peak anakuwa na sifa zifuatazo;

1 anakuwa mume wa mtu. [emoji23][emoji23][emoji23] Hapa tu tayari ushaingia chaka maana anae mwanamke wake.

2. Hawezi kukosa kuanzia watoto 3. Katika hatua za kwanza tu za mafanikio lazima kuna wanawake atazaa nao, so hadi wewe unakuja kumuona watoto anakuwa nao zaidi ya watatu na mademu kibao we unakwenda kujiongeza tu. [emoji23]

3. Akitulia basi atatulia na mkewe, akiwa hajatulia basi atakuwa anapita nao kwa mafungu. Wewe utachagua fungu lako ili ukalichezee na akishakuchoka utatemwa tu taka usitake kila mwaka kuna kontena la pisi mpya linafunguliwa wewe ni nani adumu na wewe.

4. Anakuwa ameshaumizwa sana na hisia so mapenzi ya kweli kwake ni hadithi ya uongo, ukienda tegemea kutumika tu hakuna la maana utapata.

5. Jiandae na magonjwa ya zinaa.

6. Unakwenda kupoteza muda wako bora ukawe mwalimu wa daycare utakuwa na faida kwa jamii kuliko kuwa gold digger.

Ukitaka mifano ipo mingi, mtazame alikiba, diamond, na wengine wengi je unawaonaje?

So kama unahisi kuna mtu unamkomoa hapa then nenda kapambane na hali yako usije tu kutupigia mikelele ukishakichezea huko baadae.
 
Peak ya mwanaume inaanza miaka 30- na kuendelea .
Peak ya mwanamke mwisho miaka 25.
Wanawake wako kwenye loss kuliko wanaume. Mungu mkubwa.
Watoto wa kike wa kizazi hiki wana bahati mbaya sana aiseee. Unajua sisi miaka yetu wanawake walikuwa wanatetewa sana na wanaume walikuwa wanajitoa sana kuwalinda.

Ila hawa kizazi cha 1990 kuja mbele wameachiwa gari bovu halina dereva linaelekea korongoni.

Wao wanaishi kama wanawake walio watangulia wakidhania bado wapo na kile kizazi cha wanaume cha mabwege ambao wakisukumwa na kupigwa ngumi hawajibu. Ila muda ni mwalimu mzuri, washukuru hata sisi tupo kuwapa elimu tukikaa kimya sisi ndio basi imeisha hiyo.

Sasa imagine mtu anahisi ili kumkomoa mwanaume ambaye ni rika lake ni kuruka na waliomzidi kwa kila kitu sasa si ndio shimo lenyewe hilo wanaingia? [emoji23][emoji23][emoji23]

Huwa nawaonea huruma sana.
 
Hizi ndio cyber bullying tunazoongea kila siku, it's not fair japo naamini single moms wameshaona ni kawaida sasa..

Let those without sin cast stones to single mothers.
And let those who are not professional judges or referees shut up.
 
Nadhani umeongelea kitu ambacho hakihusiani kabisa na mada au maelezo yako.

Unachokiongelea ni mtu kutaka kumcontrol mtu mwingine na tabia yake of which maelezo ya ulipotoa hii post havishikani hata kidogo.

Unachojaribu kukielezea kinacheza kwenye maeneo haya hapa, nenda kasome ujifunze vizuri.

1. Narcissism
2. Control freak
3. Perfectionist


Ntakuongezea na zinginezo utaweza pata jina la ulichozungumza hapo though ni valid point.
 
Hamna la maana uliloongea hapa zaidi ya kutoa hasira zako tu. Ukweli utabakia kuwa single mothers ni kansa na laana kwa taifa na tunatakiwa kuikemea sambamba na laana zinginezo kama ufisadi, rushwa, etc

Sasa wewe ukija hapa kunyamazisha watu wanaokemea kitu kama hicho kwasababu unaumia hisia tukuelewe vipi?

Kama unaona ujumbe unakuumiza pita kimya kimya ukienda usisome wala kujibia mtu why unakuja jifanya wakili wa single mothers, who asked you for your opinion?

https://jamii.app/JFUserGuide off take an L and go crawl back to whatever cave you came from.
 
Mwanaume akija na watoto wake atalea familia kwa gharama zake sababu yeye ndie mlipa bili so atasomesha watoto wake atawalisha, atamlisha mke na kumvalisha na kulipa bills kwa mfuko wake yeye hatokuwa anapiga wala kuwasiliana na mama wa watoto ili wampe matumizi mwishowe wajikute wanarudiana tena huko vitandani.

Na hapo bado huyu mwanamke atakuwa katika win-win situation sababu na yeye ataweza tengeneza watoto wake na mwanaume tena hata 6 kama ataweza beba ujauzito. Akiwatunza hawa watoto vema na kuwalea kama wakwake baadae hawa watoto wanaweza kuja kuwa msaada mkubwa sana kwasababu alikuwa ni mama yao mlezi na kumtupa mama mlezi huwa ni ngumu na laana kubwa sana.


Wewe mwanamke ukija na watoto wako wa4 kuna possiblity kwanza usiweze tena kuzaa kwasababu hao watoto ni wengi sana kwako na mfano kama uliwapata kwa operation then sidhani hata hospital watakuruhusu kurisk maisha yako. Sasa mwanaume arisk kubeba mzigo wa mwanaume mwenzake ile hali yeye hana nafasi ya kuzaa na wewe?

Mwanamke wa watoto wa nne unayajua maumbile yake anavyokuwa kimuonekano? [emoji23] So trust me mwanaume akikupenda na una watoto wanne nenda kanisani ukatoe sadaka na umtetemekee sababu ni bahati kubwa.

Watoto wanne plus mke it means mwanaume anawajibika kuwalea na kuwalipia gharama zote wewe Mwanamke utakuwa umerelax tu huku mwanaume anabeba hilo zigo asipofanya hivyo maana yake ni wewe kupata msaada sababu huwezi lea watoto pekee yako ni uende kuwatafuta wazazi au mzazi mwenzako wa hawa watoto ili akupe sapoti sasa huyu mwanaume uliyenae atapenda huo upuuzi?

Si ndio yale mambo ya single mothers kugongwa na wanaume waliozaa nao? Ndio maana vijana wakaja na msemo "ukitaka kuoa single mother mwambie akuonyeshe kaburi la baba mtoto wake kwanza". [emoji23][emoji23][emoji23]

Usitest hii vita. Mwanamke acheze kadi zake vema ndani ya 16 hadi 25 hapo. Akichemka tu hapo kuanzia 26 count down inaanza kuelekea uzeeni maisha yanaanza kutomake sense na kutokuwa fair nae.

Hutaki acha sikulazimishi unielewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Chin chin [emoji482]
 
Duu tusioe above 25 tena hawa si ndio wana akili ya maisha
 
Mbona makasiriko kaka? Kwahiyo wanawake walio kwenye peak nao wameolewa wanafamilia? Si kila comment lazima u reply. Pole sana no afya ya akili inakusumbua
 
Duu wadau mna maneno kwa hiyo 25 above tusioe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…