Kijana, kaa mbali na hawa wanawake

Kijana, kaa mbali na hawa wanawake

Ukimtongoza tu, lazima aombe ushauri kwa marafiki zake; hawa huwa ni wasumbufu sana, iwe ni kwa malengo ya muda mfupi au mrefu.

Utakachomwambia tu, anawashirikisha wenzake; na kama hao marafiki zake hawakukubali, jiandae kupigwa chini.

Wengi wao huwa wanashindwa kujisimamia katika maamuzi, wakiamini wao ni wazuri, na wanapowashirikisha marafiki zao, ni kutaka kuwaaminisha kuwa wanatongozwa kwa sababu ni wazuri.

Mwisho wao, wengi huishia kuishi bila kuolewa au ndoa zao kuvunjika.

Hata humu ndani, wapo wengi sana.

Kwani kila mwanamke lazima aolewe?[emoji848]
 
Poleni sana, hayanga muongozo, na tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom