Kijana, kaa mbali na hawa wanawake

Kijana, kaa mbali na hawa wanawake

Ukimtongoza tu, lazima aombe ushauri kwa marafiki zake; hawa huwa ni wasumbufu sana, iwe ni kwa malengo ya muda mfupi au mrefu.

Utakachomwambia tu, anawashirikisha wenzake; na kama hao marafiki zake hawakukubali, jiandae kupigwa chini.

Wengi wao huwa wanashindwa kujisimamia katika maamuzi, wakiamini wao ni wazuri, na wanapowashirikisha marafiki zao, ni kutaka kuwaaminisha kuwa wanatongozwa kwa sababu ni wazuri.

Mwisho wao, wengi huishia kuishi bila kuolewa au ndoa zao kuvunjika.

Hata humu ndani, wapo wengi sana.
Kimelia nini?
 
Ss hivi mjamzito eti [emoji1787][emoji1787]

Kasema nisimsumbue mimba yake isije kutoka [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ananipa burudani yule afu haogopi mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna siku nilicheka sana usiku,alicharuka balaa, kila ukimtuliza wala, ndiyo kama una mchochea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣🤣 Yaani ile siku kulikuwa kutamu balaa, nilicheka mpk mbavu ziliniuma.
Juzi kuna uzi alimshushua mtu, kila nikikumbuka mbavu zinauma.
Akivurugwa wote tunachambwa had mawizo wake.
 
Siku ya mwisho inakaribia mtachomwa moto 😀
Sema tutachomwa wewe mbona unajitoa?? 🤣🤣🤣
Me dhambi yangu kubwa udaku lazima unipeleke motoni na nikifika nitamtafuta shetani nihakikishe km kweli ana mapembe 🤣🤣
 
Ukimtongoza tu, lazima aombe ushauri kwa marafiki zake; hawa huwa ni wasumbufu sana, iwe ni kwa malengo ya muda mfupi au mrefu.

Utakachomwambia tu, anawashirikisha wenzake; na kama hao marafiki zake hawakukubali, jiandae kupigwa chini.

Wengi wao huwa wanashindwa kujisimamia katika maamuzi, wakiamini wao ni wazuri, na wanapowashirikisha marafiki zao, ni kutaka kuwaaminisha kuwa wanatongozwa kwa sababu ni wazuri.

Mwisho wao, wengi huishia kuishi bila kuolewa au ndoa zao kuvunjika.

Hata humu ndani, wapo wengi sana.
Afadhali hata hao kabla ya mahusiano,, sasa wanaume ambao kila linalotokea na mke wake lazima awafahamishe ndugu yake, hapo kuna kuwa na kichwa kweli licha ya ndevu uso mzima?[emoji1][emoji1]
 
Kwenye ndoa, mgogoro unamalizwa na wao wenyewe
 
Back
Top Bottom