Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unajiskia vizuri kabisa kumnyima mwamba mkewe?😂Huyo kuna sehemu nilimponda sana 🤣🤣🤣
Hadi shosti yangu akampotezea
Ya kutoshaa 🤣🤣Mashosti ndio masijala mna mafaili yetu😂
🤣🤣🤣 Akhu! Sio huyoHuyu atakuwa cwf 😀
Ndio niniHuyu atakuwa cwf 😀
Na ukinipitisha kwako je?Ya kutoshaa 🤣🤣
Yani nikikupitisha kwa shosti yangu ujue wewe unatuma na ya kutolea bila kulalamika
🤣🤣🤣 Bwana shemeji emu tulia basiEbu eleza wasifu wako vizuri 😀
🤣🤣🤣 Tatizo mkono wake mfupi bahiliKwahiyo unajiskia vizuri kabisa kumnyima mwamba mkewe?😂
Mbona code rahisi hiyo hujaielewa?? 🤣🤣Ndio nini
Kwa kuwa ulifukuza njiwa wangu, nakuja kukumwagia wewe kile alichotakiwa kupewa🤣🤣🤣 Akhu! Sio huyo
Nijipitishe bila kupingwa km the late chuma, pesa unayo? 🤣🤣🤣Na ukinipitisha kwako je?
Umejuaje?🤣🤣🤣 Tatizo mkono wake mfupi bahili
ID ya zamaniNdio nini
Kwamba mimi ni boya niseme hapa sina 😂😂Nijipitishe bila kupingwa km the late chuma, pesa unayo? 🤣🤣🤣
😂😂😂 anhaa nshaelewaID ya zamani
Zima taa tufanye yetu 😀🤣🤣🤣 Bwana shemeji emu tulia basi
Acha umbea lione 🤣🤣🤣Umejuaje?
Nshaelewa 😅Mbona code rahisi hiyo hujaielewa?? 🤣🤣
Shemeji uliemkataa?😂Acha umbea lione 🤣🤣🤣
Hiyo tunajua wenyewe na shemeji yangu
Shemeji hayaishi kila uzi unamponda shosti yangu, leo umeamua kuniponda wazi wazi shosti yake ( Mpika sumu) 🤣🤣🤣🤣Kwa kuwa ulifukuza njiwa wangu, nakuja kukumwagia wewe kile alichotakiwa kupewa