Kijana, kaa mbali na hawa wanawake

Kijana, kaa mbali na hawa wanawake

Hao maamuzi yao huwa yanafanywa kwa niaba yao na "kamati" yaani marafiki zake. Kama marafiki wakisema umtu poa anakukubali. Ila huwa wanajuta baadaye kwa kupoteza watu wazuri kwasababu tu ya ushauri wa marafiki.
 
Wanasahau kujua maisha ni ya kwake na si ya rafiki zake
 
Kabisa yupo mmoja alikuwa ananifanyia visa baadaye nikaja kugundua kila movement yangu na yeye anashirikisha shoga zake, naona wakawa wananipa maksi mbaya, baadaye nikaamua ku-moveon. Baadaye akaanza kuwasiliana na mimi kutaka kurudi, nikagoma mpaka leo maana aliniona sifai lichi ya wema mkubwa niliomtendea.
 
Hawezi kukosa mume mtoto mkali yule 😂😂

Itabidi tukae chini tujadili kwa kina ugomvi wetu uishe shem, uchukue mkeo 🤣🤣
Mahari yake ni kiasi gani kwanza, nataka nipachike mapacha sita kabisa 😀
 
Kabisa yupo mmoja alikuwa ananifanyia visa baadaye nikaja kugundua kila movement yangu na yeye anashirikisha shoga zake, naona wakawa wananipa maksi mbaya, baadaye nikaamua ku-moveon. Baadaye akaanza kuwasiliana na mimi kutaka kurudi, nikagoma mpaka leo maana aliniona sifai lichi ya wema mkubwa niliomtendea.
Nadhani wakati mwingine kushirikisha marafiki, ni aina fulani ya utoto, anakuwa bado hajakomaa na kujitambua.
 
Back
Top Bottom