Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #61
Nadhani wakati mwingine kushirikisha marafiki, ni aina fulani ya utoto, anakuwa bado hajakomaa na kujitambua.Kabisa yupo mmoja alikuwa ananifanyia visa baadaye nikaja kugundua kila movement yangu na yeye anashirikisha shoga zake, naona wakawa wananipa maksi mbaya, baadaye nikaamua ku-moveon. Baadaye akaanza kuwasiliana na mimi kutaka kurudi, nikagoma mpaka leo maana aliniona sifai lichi ya wema mkubwa niliomtendea.