Kijana kama hauna remote Tatu pambana Sana tumekuacha mbali Sana Sisi sio wenzako

Kijana kama hauna remote Tatu pambana Sana tumekuacha mbali Sana Sisi sio wenzako

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
😄😄😄
1714239956902.jpg
 
Watakuja kusema

Kama una muda wa kukaa na kuhangaika na remote basi tafuta sana hela.

Japo kuna kaukweli... Watu wenye pesa huwa wana mengi ya kufanya hata muda wa kukaa na kuangalia tv wanakosa.
 
Kwamba remote tatu za Aylson 32 inch ya 220K king'amuzi cha Azam cha 99K ambacho kwa mwezi unalipa 17K kama mama ntilie na remote ya Seapiano ya 130K kwa vijana wa siku hizi ndiyo maisha mmeyapatia?

Mna safari ndefu mno,mnooo nawaambia.
 
Back
Top Bottom