Kijana kama hauna remote Tatu pambana Sana tumekuacha mbali Sana Sisi sio wenzako

Kijana kama hauna remote Tatu pambana Sana tumekuacha mbali Sana Sisi sio wenzako

Issue kuwa na funguo 3
1. Ya nyumba
2. Ya ofisi
3. Ya usafiri

Nb. Vyote viwe vyako
 
Si bora huyo kuliko wewe unayekaa kwa shemeji yako??
🀝🏾🀝🏾🀝🏾 Mkuu nipo kwa shemeji yangu hapa muda huu ndiyo nataka nitandike kitanda nilale.

But sitaanini bado kama na wewe upo kwenye uchumi wa kuamini kumiliki TV king'amuzi cha azam na sabufa ni kutoka kimaisha,hivyo vitu kwa mtu mwenye akili havichukulii kama assets.
 
duuuh tv king'amuzi na deki nalo n jambo la kujisifia??
Ndiyo hivyo.
Makido wa familia nyingine hizo wanabomoa na kuigiza kutengeneza robot kama Transformers au Pacific Rim.
Mshua akikuta uharibifu huo hapigi kelele analeta system nyingine ya kisasa zaidi.
Nahisi huyu atauwa mtoto kwanini kaharibu kifaa chake.
 
Back
Top Bottom