Kijana kama hauna remote Tatu pambana Sana tumekuacha mbali Sana Sisi sio wenzako

Kijana kama hauna remote Tatu pambana Sana tumekuacha mbali Sana Sisi sio wenzako

Unakuta kuna mwamba bei ya mziki tu na remote zako 3 hufikii hata nusu bei
 
Kwamba remote tatu za Aylson 32" ya 220K king'amuzi cha Azam cha 99K ambacho kwa mwezi unalipa 17K kama mama ntilie na remote ya Seapiano ya 130K kwa vijana wa siku hizi ndiyo maisha mmeshapitana?

Mna safari ndefu mno,mnooo nawaambia.
Si bora huyo kuliko wewe unayekaa kwa shemeji yako??
 
Back
Top Bottom