Kijana kama hujaoa kisa unatafuta mwanamke wa hivi. Basi hutooa kamwe na utakufa masikini

HUYU NDIYE MWANAMKE HALISI WA KUOA

1. Mpenzi wako akija kwako na akakakuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe....

2. ukienda nae hotelini akaamua kuagiza ugali dagaa na maji tu...muoe anajua uchumi.

3. Mdada ambaye akimuona mkaka mwingine anaendesha Land cruiser na wewe una vitz yako Number A lakini akaamua kuja kwako...usimuache...

4. Mwanamke akikutembelea kwako akakuta nguo zako chafu akafua zote mpaka za wadogo zako, huyo mke usimuache!

5. Mwanamke unampa sh elfu tano akafanye shopping sokoni anakurudishia chenchi..huyo usimuache...anajua kubana bajeti na muaminifu.

6. Ukimpata mwanamke ambaye anakupigia simu na kukuuliza kama anaweza kukutumia credit au hela ya lunch, au anakupa pocket money saa nyingine, huyo tangaza ndoa fastaaa!

7. Mwanamke ambae anakupa password ya benki,laptop, simu na emails zake, huyo ni zaidi ya malaika.oa haraka..watamgombania wenzako!

8. Ukipata mwanamke ambaye mkipanda daldala analipa nauli au mkitoka out analipia bill ya chakula na vinywaji...huyo usimuache! anajua wajibu wa wana ndoa!

9. Ukimpata mwanamke ambae mnapokula, yeye anachagua mifupa tu na minofu anakuachia wewe, huyo usimuache...oa fastaaa... anajali afya yako!

10. Ukipata mwanamke ambae kila ukimuuliza angependa umletee nini ukirudi toka kazini, lakini yeye anakwambia hahitaji kitu ila anataka urudi salama, huyo ndio mke...sio kila siku unatumwa chips na kuku!
Mwanamke kama huyu ni ghali sana kumpata, maana niwachache sana .
Mwanamke anayekutekelezea yote haya amepoteza sifa kuu ya kuwa mke. Haya yote hutekelezwa na mke wa ndoa, sio mchumba mtarajiwa.
 
Hakuna kiumbe mwenye hizo sifa hapa CUBA
 
Huu siyo uzi mgeni humu, tulishaabiwa mno haya. Ahsante kwa taarifa lakin
 
Mwanamke nilie nae sasa anasifa 3 tajwa hapo juu ila MA x wangu akuna ata moja mwenye sifa ata moja
 
N
HUYU NDIYE MWANAMKE HALISI WA KUOA

1. Mpenzi wako akija kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe....

2. Ukienda nae hotelini akaamua kuagiza ugali dagaa na maji tu...muoe anajua uchumi.

3. Mdada ambaye akimuona mkaka mwingine anaendesha Land cruiser na wewe una vitz yako Number A lakini akaamua kuja kwako...usimuache...

4. Mwanamke akikutembelea kwako akakuta nguo zako chafu akafua zote mpaka za wadogo zako, huyo mke usimuache!

5. Mwanamke unampa sh elfu tano akafanye shopping sokoni anakurudishia chenchi..huyo usimuache...anajua kubana bajeti na muaminifu.

6. Ukimpata mwanamke ambaye anakupigia simu na kukuuliza kama anaweza kukutumia credit au hela ya lunch, au anakupa pocket money saa nyingine, huyo tangaza ndoa fastaaa!

7. Mwanamke ambae anakupa password ya benki, laptop, simu na emails zake, huyo ni zaidi ya malaika, oa haraka..watamgombania wenzako!

8. Ukipata mwanamke ambaye mkipanda daldala analipa nauli au mkitoka out analipia bill ya chakula na vinywaji...huyo usimuache! anajua wajibu wa wana ndoa!

9. Ukimpata mwanamke ambae mnapokula, yeye anachagua mifupa tu na minofu anakuachia wewe, huyo usimuache...oa fastaaa... anajali afya yako!

10. Ukipata mwanamke ambae kila ukimuuliza angependa umletee nini ukirudi toka kazini, lakini yeye anakwambia hahitaji kitu ila anataka urudi salama, huyo ndio mke...sio kila siku unatumwa chips na kuku!
Mwanamke kama huyu ni ghali sana kumpata, maana niwachache sana .
Nilitekeleza haya yote. Sasa hivi naishi Safe Heaven on Earth
 
Wenzetu mnakutan nao wapi, type hizi.
 
Back
Top Bottom