binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Namba 6 uongo bana, namba 7 inawezekana sio kitu kigumu.6 & 7 hamna upo unaota...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba 6 uongo bana, namba 7 inawezekana sio kitu kigumu.6 & 7 hamna upo unaota...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23] unataka watu waoe majini, maana huyo ni jini.
6,7,8 na 9 kama viumbe wa mbinguni vile 😂😂6 & 7 hamna upo unaota...
😃😃😃 Hela utowe wapi sasa, na huku joblessNina zote isipokua zile zinazohusiana na hela🤭
Shida ndio inapoanzia hapo sasa😒😃😃😃 Hela utowe wapi sasa, na huku jobless
Home tuna mabanda ya mbuzi mbwa kuku, uje kwa siku unapata buku tano saafi na msosi na nauli yani hiyo elfu tano ni take home 😊😊😊 na unaungwa bundle la buku mbiliShida ndio inapoanzia hapo sasa😒
Hela ya kusuka na kucha je😒😒za emergency je??Home tuna mabanda ya mbuzi mbwa kuku, uje kwa siku unapata buku tano saafi na msosi na nauli yani hiyo elfu tano ni take home 😊😊😊 na unaungwa bundle la buku mbili
Atakupa mzabzab hizo za kujitembea 😊😊 kwa siku anaingiza 15 na wewe 5 mkijumlisha mnawakuwa na 20 kwa siku kwa mwezi mna 600KHela ya kusuka na kucha je😒😒za emergency je??
Me staki kuteseka sasa jaman
😒😒😒😒 Single tena patazibaKwa style hiyo me akhaaaaa staki niache niwe zangu single