Kijana kama hujaoa kisa unatafuta mwanamke wa hivi. Basi hutooa kamwe na utakufa masikini

Mwanamke anayekutekelezea yote haya amepoteza sifa kuu ya kuwa mke. Haya yote hutekelezwa na mke wa ndoa, sio mchumba mtarajiwa.
 
Hakuna kiumbe mwenye hizo sifa hapa CUBA
 
Huu siyo uzi mgeni humu, tulishaabiwa mno haya. Ahsante kwa taarifa lakin
 
Mwanamke nilie nae sasa anasifa 3 tajwa hapo juu ila MA x wangu akuna ata moja mwenye sifa ata moja
 
N
Nilitekeleza haya yote. Sasa hivi naishi Safe Heaven on Earth
 
Wenzetu mnakutan nao wapi, type hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…