Abbyrutha
Senior Member
- May 29, 2019
- 193
- 277
Eti chwi chwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nime imagine nyama yenye mafuta inavyokuwaga nayeye atavyokuwaMkuu hakuna dhambi mbaya kama ya unafki na upotoshaji. Unawajaza ujinga vijana humu ila ww una mke.
Mungu atakuchoma kama mahindi yachomwavyo. Taratibu kwenye wavu uwe unadondosha mafuta chwii chwii kwenye mkaa