Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Mkuu

Unajaribu kunikwepa sababu huna hoja na si kuoinea huruma ndoa yangu.

Mimi baba mkwe wangu ni mwanasheria, mama pia ni mwanasheria.

Umesema ndoa ni mkataba wa kitapeli embu weka huo mkataba tuuone?

Uoni kwamba unaongea tu maneno matupu?
Baada ya Mahakama kutoa talaka na mgawanyo wa mali kulingana na contribution bado Mwanaume anaendelea kuongezewa jukumu la kulea watoto kusomesha na matibabu hapo nani Kaliwa? Baada ya watoto kukuwa na kuanza kupata maisha 90% wanafaidika na matunda ya watoto ni wamama. Hapo nani Kaliwa? Kila mwanamke anapenda aolewe na Mwanaume mwenye hela siulize why? Ili uliwe mzee baba!
 
H
hilo nilishakujibu soma reply ya nilicho reply usijikute shababi kumbe kuna mashababi zaidi yako
Aina shidq wawepo,muhimu wanaume tutimize agano,kama unataka Kuwa tofawashi au oa ,kuzini Hapana.
Achana na kampeni usizojua asili yake,
Hii kampeni muasisi wake ni lucifer mwenyewe ,
Sasa ukiisupport unamsupport bwana mdogo mpuuzi mmoja lucifer
 
Back
Top Bottom