Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

Nyota,majina,vina maana sana kwenye kuchagua mtu sahihi ndo utajua waarabu na wahindi wanaotumia elimu hii kuoana sio wajinga.
Na wanafanikiwa kwenye maisha Kwa kupata mtu sahihi.
Wengine tunabet TU kwenye ndoa,matokeo yake unaoa mwanaume mwenzio ktk umbo la kike,mambo hayaendi sababu ya amani hakuna.
Au unabeba TU jitu lina laana na mikosi kisa Tako na kuzungusha kiuno linakuja kukuletea nuksi maishani
 
Sababu ya watu kupenda sana ngono kuliko chakula kuwa makini sana watu wengi sans wamebeba laana na mikosi kibao.
Umelala na watu zaidi ya mia unakosaje mikosi kwa mfano.
Watu wapo kwenye ndoa jina TU lkn michepuko kama yote unakosaje mikosi sasa
 
Nyota,majina,vina maana sana kwenye kuchagua mtu sahihi ndo utajua waarabu na wahindi wanaotumia elimu hii kuoana sio wajinga.
Na wanafanikiwa kwenye maisha Kwa kupata mtu sahihi.
Wengine tunabet TU kwenye ndoa,matokeo yake unaoa mwanaume mwenzio ktk umbo la kike,mambo hayaendi sababu ya amani hakuna.
Au unabeba TU jitu lina laana na mikosi kisa Tako na kuzungusha kiuno linakuja kukuletea nuksi maishani
Tupe ABC basi, tunafanyaje sasa kwny hizo nyota kwa habari ya mahusiano?
 
Back
Top Bottom