bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Tumia kanuni ya oa acha oa acha Hadi utampata mtu sahihi kuliko kuumia kisa mapenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ijue nyota yako kwa tarehe ya kuzaliwa, na herufi ya jina.Tupe ABC basi, tunafanyaje sasa kwny hizo nyota kwa habari ya mahusiano?
Kama haji manara au sio😀Tumia kanuni ya oa acha oa acha Hadi utampata mtu sahihi kuliko kuumia kisa mapenzi
Sasa kama huli, hujili unataka tukuelewe..maana option ni 3 tuuuu..Mimi sio dronedrake 😀
Sio Ilala?Wa Kariakoo
Please dooAm calling you, ni verify 😀🤣
Kijana weka mrembo ndani haraka dunia haikusubiri,kufika ukweni kusalimia na trouser imetuna mbele wakwe wakiangalia na kuona aibu kitu inayomliza binti yao ni raha sana(utani kidogo)🤣2027 🤒
Am preserving myself buddhaSasa kama huli, hujili unataka tukuelewe..maana option ni 3 tuuuu..
1. Kula
2. Kuliwa
3. Mojawapo ya hayo hapo juu
Okay,,...kwaiyo inabidi nitafute mwenza mwenye nyota inayoendana na yangu sio?Ijue nyota yako kwa tarehe ya kuzaliwa, na herufi ya jina.
Jamaa anapiga mradi mzuri sana yaan anawapangua na huyo tunampa siku kadhaa tu atavurugana nae kashakunja viwanja kadhaa na maokoto km yote kweli mjini mishe mishe TU daah sijui nakwama wapi huu wa Manara ni mradi kabisa Ila IPO siku watu watachokaKama haji manara au sio😀
Wachek walimu wa elimu ya mambo ya kiroho wanaijua hii kitu in deep.Wanajimu au mamajusi wapo deep sana kuhusu hii fani unachagua TU upande sahihi kwako wapo wa Giza na WA Nuru lakin wote utoa majibu sawa.Tupe ABC basi, tunafanyaje sasa kwny hizo nyota kwa habari ya mahusiano?
Powa kaka, sema unipe deal kwanza.Kijana weka mrembo ndani haraka dunia haikusubiri,kufika ukweni kusalimia na trouser imetuna mbele wakwe wakiangalia na kuona aibu kitu inayomliza binti yao ni raha sana(utani kidogo)🤣
Utakapokuwa tayari usisite kutupatia mwaliko,nitafika popote pale.
Sijawahi kuipeleka akili yangu katika hiyo imani,japo nakutana na madudu katika mazingira ya ajabu na sehemu ngeni/ugenini.Ni kweli mkuu, sema wengi hatu ijui.
👉Ina vipengele vingi, wengine amani, pesa, ugomvi 😀
Karoti dini inaruhusuKama haji manara au sio😀
Nasikia ma don huwa Wana mpa michango mikubwa.Jamaa anapiga mradi mzuri sana yaan anawapangua na huyo tunampa siku kadhaa tu atavurugana nae kashakunja viwanja kadhaa na maokoto km yote kweli mjini mishe mishe TU daah sijui nakwama wapi huu wa Manara ni mradi kabisa Ila IPO siku watu watachoka
Sogea hapa tandale nikuachie mikoba kabla sijaelekea shamba kulima.Powa kaka, sema unipe deal kwanza.
👉Maana naoaje na jaa hii🤣🤒
Ni mtu makini, ndio maana akawa na mimi.He should be cautious, asije yatimba😀
HapanaSio Ilala?
Hiyo kurahisisha ndo majanga yenyewe, mna kuwa Kama ombaomba🤒Mimi naona kuna muda mtu unatakiwa kurahisisha mambo, miluzi mingi humpoteza mbwa