Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

Jamaa anapiga mradi mzuri sana yaan anawapangua na huyo tunampa siku kadhaa tu atavurugana nae kashakunja viwanja kadhaa na maokoto km yote kweli mjini mishe mishe TU daah sijui nakwama wapi huu wa Manara ni mradi kabisa Ila IPO siku watu watachoka
Jamaa anajipambanua kwenye mitandao kuwa ameandika historia kizazi hiki kuwa anakojoa mahali pazuri. Hivi hizi ni akili kweli au ujinga?😄
 
Mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke.

Kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilikufa kwa sababu ya wanawake, na kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilisonga na kufanikiwa kwa sababu ya wanawake. Mpaka leo sijaoa, sijaoa kwa sababu sijaona sababu ya kufanya hivyo kwanza.

Naona ndoa nyingi zikianguka, naona ndoa nyingi zikiingia kwenye umasikini, naona mambo makubwa na ya kutisha sana kwenye ndo, mambo ambayo mtu yanakupa hofu ya kutaka kufanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.

Nawaona watu wengi waliokuwa na ndoto kubwa wakizipoteza baada ya kuoa, nawaona watu wakiharibikiwa maisha yao baada ya kuingia kwenye ndoa. Nawaona wanandoa wanaofanikiwa ni wachache kuliko wanaoanguka na kupoteza misingi ya ndoto zao.

Mimi sio Muislamu, mimi si Mkristo, nitakapooa, no turning back. Nikimpa mwanamke ambaye hana ndoto kubwa, nini kitatokea endapo nitamshikirisha na kumwambia ndoto zangu? Ataniona mjinga fulani ninayekaribia kuchanganyikiwa ama ataniona mtu mwenye akili.

Siku Nikipata mpenzi, nitajiuliza, huyu mwanamke ataweza kuishi na mwanaume mwenye bilioni kumi kwenye akaunti? Je, anaweza kuzifanya zile bilioni kumi ziwe ishirini ama hamsini? Huwa ninawaza mambo mengi sana ambayo mwisho wa siku nasikia sauti ikiniambia “Subiri”.

Siku ukiwa huna je atakuwa na wewe au ndo itakuwa ndo Safari ya kwenda?!,

Jifunze kuchagua kitu sahihi kwako, mtu ambaye mna weza kwenda speed moja.
View attachment 2880640
Kwa huo unene Kwa wote wawili, style muafaka ni mtihani
 
Nipo nasikiliza wimbo hapa

IPO SIKU_ VIJANA BARUBARU

Ngoja nitafute na Smirnoff Black Ace mojaa Niki sign out LINDO
 
Back
Top Bottom