Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

Upumbavu na uelewa wako nimeuona hapa

"ataweza kuishi na mwanaume mwenye bilioni kumi kwenye akaunti? Je, anaweza kuzifanya zile bilioni kumi ziwe ishirini ama hamsini?"

- Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, hakika usioe, Hakuna mwanamke anaendeleza hela ya mwanaume, na wala hatuwaambii ziko kiasi gani, anahudumiwa vizuri, ila hategemewi kwa chochote cha maendeleo.
poor uttoh2002
 
Ume elewa kwanza??, Au ndo kipaji Cha kutukana Ume rithi kwa wazazi wako??
 
Your absolutely right, acha tuendelee na game yetu🤣🤒
Yaani sasa dunia sijui imekuwaje yule unayemuona ametulia machoni pako kumbe nyuma ya pazia ni zaidi ya Mwajuma wa Uwanja wa fisi na yule unayemuona ana wenge jingi kumbe huyo ni afadhali zaidi kuliko anayejifanya katulia. 😂😂😂
 
Upumbavu na uelewa wako nimeuona hapa

"ataweza kuishi na mwanaume mwenye bilioni kumi kwenye akaunti? Je, anaweza kuzifanya zile bilioni kumi ziwe ishirini ama hamsini?"

- Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, hakika usioe, Hakuna mwanamke anaendeleza hela ya mwanaume, na wala hatuwaambii ziko kiasi gani, anahudumiwa vizuri, ila hategemewi kwa chochote cha maendeleo.
Mkuu,
Do not be too General

Mm nimeoa muda mke ana kazi pia Mimi na kazi..

Mimi na mke wangu ni marafiki Huwa tunaweka pesa zoteeee mezani ndipo yeye ana Anza kuzitawanya sector mbali mbali

Of course Mimi na dress very well na nguo zoteeee amenunua yeye + viatu classic jamaan hawa wanawake wanapishana banaa

Mimi sikuoa Tako Wala sura nilio akili na mtu alie nipenda Kwa dhati

Hii statement yako hapa chini futa 👇👇
- Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, hakika usioe, Hakuna mwanamke anaendeleza hela ya mwanaume, na wala hatuwaambii ziko kiasi gani, anahudumiwa vizuri, ila hategemewi kwa chochote cha maendeleo
 
Kwenye 10 yupo 1 Ila wote akili zao zinafanana atakuvutia kasi mwanzo tu
 
Back
Top Bottom