Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

Mkuu,
Do not be too General

Mm nimeoa muda mke ana kazi pia Mimi na kazi..

Mimi na mke wangu ni marafiki Huwa tunaweka pesa zoteeee mezani ndipo yeye ana Anza kuzitawanya sector mbali mbali

Of course Mimi na dress very well na nguo zoteeee amenunua yeye + viatu classic jamaan hawa wanawake wanapishana banaa

Mimi sikuoa Tako Wala sura nilio akili na mtu alie nipenda Kwa dhati

Hii statement yako hapa chini futa 👇👇
- Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, hakika usioe, Hakuna mwanamke anaendeleza hela ya mwanaume, na wala hatuwaambii ziko kiasi gani, anahudumiwa vizuri, ila hategemewi kwa chochote cha maendeleo
Asante Kaka, Jamaa kaji kuta much know 🤣😀.
 
Safi sana rules zetu as men ni ku_provide na ku_protect family zetu hakuna la ziada.
 
Back
Top Bottom