Mkuu,
Do not be too General
Mm nimeoa muda mke ana kazi pia Mimi na kazi..
Mimi na mke wangu ni marafiki Huwa tunaweka pesa zoteeee mezani ndipo yeye ana Anza kuzitawanya sector mbali mbali
Of course Mimi na dress very well na nguo zoteeee amenunua yeye + viatu classic jamaan hawa wanawake wanapishana banaa
Mimi sikuoa Tako Wala sura nilio akili na mtu alie nipenda Kwa dhati
Hii statement yako hapa chini futa 👇👇
- Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, hakika usioe, Hakuna mwanamke anaendeleza hela ya mwanaume, na wala hatuwaambii ziko kiasi gani, anahudumiwa vizuri, ila hategemewi kwa chochote cha maendeleo