Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

huyu mwanamke ataweza kuishi na mwanaume mwenye bilioni kumi kwenye akaunti? Je, anaweza kuzifanya zile bilioni kumi ziwe ishirini ama hamsini?
Acha kumpa majukumu yako mwanamke! Kuna mda mama zetu walichangia nafasi kubwa kwenye uchumi wa baba zetu lkn sio direct lkn unakuta mzee Kuna namna ndo alijitoa sana.....vaaa uanaume mazee
 
Acha kumpa majukumu yako mwanamke! Kuna mda mama zetu walichangia nafasi kubwa kwenye uchumi wa baba zetu lkn sio direct lkn unakuta mzee Kuna namna ndo alijitoa sana.....vaaa uanaume mazee
Kaka sija maanisha hivyo, najua Kuna direct na in direct.
👉Wengine ni vichwa hasi, Wana waza show off na spending.

Mabimkubwa wetu wa zamani, wali kuwa Wana jicho na maono
 
Back
Top Bottom