Kijana makini na wathamani hawezi kuwa mtu wa kuchezea wanawake.

Kijana makini na wathamani hawezi kuwa mtu wa kuchezea wanawake.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Unapokutana na mwanamke katika safari yako ya MAISHA hapa namzungumzia kijana amabaye yupo na Malengo Makubwa kuhusu MAFANIKIO na anajua thamani yake .

Hivyo katikati ya safari yako unaweza kumuhalika Mwanamke kuwa aje katika MAISHA yako kwa lengo la kutafuta ukamilisho na kukamilishana na sio kumchezea na mwisho kumpa ambush

Hivyo ukipata demu kwanza Mwambie ukweli kuwa wewe bado unaipambania future yako ambayo unataka iwe bora Sana.

Baada ya hapo utamwabia Kama anataka mfike mbali basi anabidi kutokuomba pesa ambayo wewe ukimpa yeye utarudi nyuma hiyo haifai Mwambie avumilie ili mkue Pamoja Biashara ikuwe na mambo yakikaa sawa Mwambie Bata atakula Sana na kusuka atasuka sana mitindo ya kila Aina hivyo hiyo ndo maana ya kuongea lugha moja.

Hapa nimelenga wale vijana ambao wanandoto kubwa na sio sisi wazee wa one night stand ambao tuna mpango wakujenga vyumba vinne na kununua Ist na kustaafu. Kula pensheni
 
Back
Top Bottom