Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Yaani ni sawa mtu unaenda sokoni, unaacha kununua maembe mazuri yale yalioiva yapo tayari kwa kuliwa, wewe unachagua yale yaliyosinyaa yameshapondekapondeka, watu wameshayabinyabinya, mengine yameanza kuoza ndio unachukua hayo. Halafu unakuja ku justify kwamba hayo ndio matamu πŸ˜„
 
Kama uneshindwa ni wewe na wala hatudhulumu nafsi nan anataka kukimbizana na dogodogo mambo ya kuagizana chips hadi asubui ujinga huo sifany mashangaz raha zao kwanza ukimpa ahadi tukutane saa tisa badi yeye tisa kasoro kashafika hao dogo dogo visingizio ving
 
Mishangazi mingine haifai
Kuna kipindi hapo nyuma nilipataga lishangazi lakini lilikuwa li mke la mtu sasa lenyewe lilikuwa linataka kupigwa mashine kila siku na si chini ya bao 2.
Kingine lilikuwa haliwez kukutana namm kama halijalewa hii tabia ilikuwa inaniudhi sana nashukuru Mungu niliweka kuondokana nalo lingenimaliza nguvu zote.
 
Shida wanajua kupenda sana, hawaumizi kama hivi vitoto vya 2000.
 
Huyo kwenye picha huenda ana miaka mingapi? Sasa kijana unadhani anaweza chomoa kwa mshangazi huo?
 
Tatizo kila nikiuliza mmama if yupo katika mahusiano mara nyingi jibu ni NO..

Hapo sasa ndipo naanza ukorofi..
Kingine ni kuwa hatufanyi hvi kwa ugumu wa maisha ila ni vile tuna pepo baya la mashangazi na wake za watu.

Mimi sidhurumu nafsi yangu hata kidogo ila nayopata mashaallah siwezi kutoka katika huu mtego
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…