Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Nipende kuwa tu muwazi, unless kuna faida za kiuchumi unazozipata, kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kujipunja na kuidhulumu nafsi yako.

Niulize kwanini?

Kikubwa unachotakiwa kujua ni kuwa wanawake hua wanaanza mambo ya mapenzi mapema sana. Kwa kawaida mabinti huanza "mchezo mchafu" wakiwa kati ya miaka 12 - 15 na wengine chini ya hapo.

Sasa ukikutana na mwanamke mwenye 35 years, manake huyu yupo kwenye gemu zaidi ya miaka 20! Pamoja na kwamba hua tunasema hainaga makombo, lakini hapo hamna utakachokuta dogo. Mashine lazima ukute imetepeta mbayaa. Ladha hakuna. Na kama ameshazaa ndio kabisaa.. Yaani hapo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Kijana jitahidi kutafuta binti mwenye 18 - 22 years hapo angalau utafaidi mema ya nchi achana na wazee utakuja kunishukuru.
Umenena vyema sana.
 
Elewa hiyo. Kwani kumridhisha mwanamke kunahitaji nini, nguvu au kifua kipana au? Ni pale ambapo mwanamke amekupenda na kuridhika na wewe tu. Uliza akina Kapeace au To yeye au Evelyn Salt au Madame B wakiamua utaujua ukweli.
Sawa mkuu,
Kwamba katoto kana 25yrs karidhike kabisa kwa libaba lina 65? Kwanza ukumbuke hakuna cha kumuweka hapo zaidi ya maslahi... kwa hiyo kama sio pesa hakuna huo upendo unaousemea, wadada wenyewe kina To yeye na Atoto 😂
 
Kuna vijana hawana njaa Ila kwa wanawake 35+ huwaambii kitu

Nadhani kuna wengine sio sex tu Ila hata akili ya wanawake wa age hizo imetulia. Wanajua wanachokitaka tofauti na hao 18-22 uliowataja ambao kwa kiasi kikubwa bado wanahangaika na mji

Kingine mkuu, kuna watu wengi wanasema pweza ni mtamu kupitiliza Ila mimi nikimuweka kwenye ulimi sioni huo utamu wake. Kwa hiyo watu tofauti huchagua vitu tofauti. Ni maisha tu
Usher Raymond hajawahi date msichana mdogo yeye ni same age au above his age.

Di caprio amedate older women zamani kwa sasa ana date wasichana wadogo wakifikisha 24 of age anaachana nao (hopefully huwa inatokea bahati mbaya) pattern imejirudia hadi imeonekana ni tabia yake.

To each his own.
 
Sawa mkuu,
Kwamba katoto kana 25yrs karidhike kabisa kwa libaba lina 65? Kwanza ukumbuke hakuna cha kumuweka hapo zaidi ya maslahi... kwa hiyo kama sio pesa hakuna huo upendo unaousemea, wadada wenyewe kina To yeye na Atoto 😂
Wewe acha hizo! kwani kazi yako kumridhisha mwanamke au kujiridhisha wewe binafsi. Kila mtu apambane na mechi zake. On the other hand, nakuapia kuna wapenzi wa sisi mababu na wanaridhika ajabu ila its up to her!
 
Wewe acha hizo! kwani kazi yako kumridhisha mwanamke au kujiridhisha wewe binafsi. Kila mtu apambane na mechi zake. On the other hand, nakuapia kuna wapenzi wa sisi mababu na wanaridhika ajabu ila its up to her!
Sorry not sorry, Nimesikia kuwa…..

older men wanajua kufanya mapenzi (kwa aliyejitunza hana magonjwa) Wanajua passionate-love making. (malaya wa zamani) na wanaenjoy sex may be sababu wanaifanya out of it! Na probably sababu kuna mambo wameshayasettle now wapo kuenjoy sex.

Vijana wana energy, wanasugua weeeee hadi cheche! Purely sex, fujo sio love making!

Msinishike shati, hii nilisikia kwenye kikao cha mwisho nilichohudhuria kijiweni kwetu 😂
 
Back
Top Bottom