mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Mke wa mtu ni mapanga.
Mke wa mtu ni mapanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga sana.Unaenda jela, mke wako anabaki akiliwa kwa uhuru.
Busara inaepusha mengi sana.
Nakuona President na C.E.O wa kiwanda Cha Uchakataji Mbususu umetimba kutia nenoTatizo liko kwa wamiliki wa mbususu
hivi wchaga nao mapenzi wameanza lini aisee.Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu.
Taarifa zinadai kuwa kijana huyo aliyeuawa alikuwa akichati na mke wa mtu ambapo baadaye mume wa mwanamke huyo, Riziki Shirima (22) alidaka simu ya mkewe na kukuta meseji za mapenzi.
Baada ya kukuta meseji hizo, mwanaume huyo aliweka mtego kwa kuendelea kumtumia meseji kijana huyo aliyeuawa, akijifanya yeye ndio mwanamke huku akimtaka kuja nyumbani jambo ambalo alifanya hivyo.
Baada ya kijana huyo kufika nyumbani alianza kushambuliwa kwa kukatwa mapanga na baadaye kufariki dunia.
Kamanda wa Polisi Mkoani wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio ambapo amesema tukio lilitokea usiku wa kuamkia Desemba 4 na kusema baada ya mwanaume huyo kufanya mauaji alijisalimisha mwenyewe polisi.
"Ni kweli hili tukio limetokea katika kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo ambapo mwanaume alimfumania mkewe nyumbani kwake akiwa na huyu kijana aliyeuawa wakitaka kufanya mapenzi," amesema Kamanda Maigwa
Kamanda Maigwa amesema jeshi la polisi linaendelea kumshikilia muuaji baada ya kujisalimisha mwenyewe polisi.
Chanzo cha Habari ni Mwananchi online
mi niliuliza swali hapo lini wachaga nao wameanza mapenzi? manake hiyo hata sio carrier yao. rip dogo.Unaenda jela, mke wako anabaki akiliwa kwa uhuru.
Busara inaepusha mengi sana.
Kama mwanaume ndiye aliyekuwa anamtumia meseji akijifanya ndiye mwanamke, imekuwaje tena awafumanie wakitaka kufanya mapenzi? Si kwamba alikuwa akimsubiri yeye mwenyewe?Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu.
Taarifa zinadai kuwa kijana huyo aliyeuawa alikuwa akichati na mke wa mtu ambapo baadaye mume wa mwanamke huyo, Riziki Shirima (22) alidaka simu ya mkewe na kukuta meseji za mapenzi.
Baada ya kukuta meseji hizo, mwanaume huyo aliweka mtego kwa kuendelea kumtumia meseji kijana huyo aliyeuawa, akijifanya yeye ndio mwanamke huku akimtaka kuja nyumbani jambo ambalo alifanya hivyo.
Baada ya kijana huyo kufika nyumbani alianza kushambuliwa kwa kukatwa mapanga na baadaye kufariki dunia.
Kamanda wa Polisi Mkoani wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio ambapo amesema tukio lilitokea usiku wa kuamkia Desemba 4 na kusema baada ya mwanaume huyo kufanya mauaji alijisalimisha mwenyewe polisi.
"Ni kweli hili tukio limetokea katika kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo ambapo mwanaume alimfumania mkewe nyumbani kwake akiwa na huyu kijana aliyeuawa wakitaka kufanya mapenzi," amesema Kamanda Maigwa
Kamanda Maigwa amesema jeshi la polisi linaendelea kumshikilia muuaji baada ya kujisalimisha mwenyewe polisi.
Chanzo cha Habari ni Mwananchi online
Kwahiyo huyo jamaa alienda hapo kufanya nini kwa mke wa mtu chumbani? Kupiga soga?Dah jamaa ni katili sana[emoji53] hata hajafumania mbususu ikiliwa na wala hakumuonya yeye ni kufanya appointment ya kumuingiza mtegoni na kumuua tu. Dah Dunia hii ina watu makatili sana
hahahahaha Aisee inasikitisha mbususu yenyewe usikute hakukuta hata sio bikra na utashangaa jamaa aliyeuwawa Ndio alitangulia kuichakata na hapo alikua anapasha kiporo tu sema Ndio bahati mbaya Haina mwenyewe kaisha!
Mbususu tamuu mno,watu wana Hasira nazo sana.Dah jamaa ni katili sana[emoji53] hata hajafumania mbususu ikiliwa na wala hakumuonya yeye ni kufanya appointment ya kumuingiza mtegoni na kumuua tu. Dah Dunia hii ina watu makatili sana
Kimfaacho mtu chake.Unamuua mtu kwa ajili ya likuma chafu hilo.
Watu ni wapuuzi mno
Huyo alivamia au aliitwa kimtego??.Kumshambulia mhalifu alievamia kwako Ni sawa? Wanasheria mtujuze
Ni sawa kisheria, ila huyo hakuvamia, alitegwa akaingia mtegoni
Umeona eenhh?!!.Mume,mke,na Marehemu wapo kwenye foolish age.Mume miaka 22 mke miaka 20... huo ni moto juu ya fire
Hawafu wskaozeshwaUmeona eenhh?!!.Mume,mke,na Marehemu wapo kwenye foolish age.
Lkn huyo mwenye mke ana umri mdogo,hope hakufikia stage ya kushindwa kumhudumia mkewe.Huko Rombo si ndio wanaume wengi walevi hawagegedi wake zao.?
Matokeo ndio haya wamama huko wanatafuta vijana..
Nb: sisi 4 - wanawake .3.
Mtandao gani tena jamani?Anaenda kunyea debe na mke ataliwa mbususu mpaka na kale kamtandao kanakopendwa maeneo ya Pwani
Ni kweli MkuuUnaenda jela, mke wako anabaki akiliwa kwa uhuru.
Busara inaepusha mengi sana.