Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

Kamq wanawaza ngono nyie vijana wa saizi mnawaza nini wakati hata Mali mnangojea za wazee wenu daily mko juu ya meza kucheza amapiano..
 
Izo hazinyolewi kabisaa alaah mwanaume unaanzaje kuzitoa iwe kwa shaver au magic unataka nani akuone palivyopendeza, huwa zinapunguwa zenyewe labda kama zimerefuka sana ziprone na mkasi
 
We umevumbua nini Boss?! Samahani lakini[emoji848]
 
Kuna watu wataamini hizi pumba na kuacha msitu uwe unahifadhi mavi 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…