Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

AstaghafiluAllah kijana NYWELE ZA NYUMA hazinyolewi kabisa enyi vijana wa hovyo ni hadhina ya TAIFA HIYO

Kama unavyonyoa mavuzi na kwapa vivyo hivyo nywele za matakoni zinafaa kunyolewa. Utabeba mavi na bacteria wanaozaliana kwa jasho. Usafi wa matako ni sawa na usafi wa viungo vingine vya mwili.
 
Mimi peke yangu nikiwa nimejikomboa kifikra ila nikazungukwa na mbumbumbu haiwezi kufanya kazi... Na katika hiyo history kuna topics so, mimi nazungumzia Colonialism na sio Evolution of man.... Katika hizo topic mbili kuna ambayo imenyooka na inayosadifu uhalisia wetu wa kiakili toka zamani ndo sababu ukifuatilia machief waliozungumzwa huko ni kweli walikuwepo ila hizo habari za tulikuwa nyani ni imaginary stories

Ndo maana nikakuambia mimi nimejikomboa kwa kuwa naweza kujua wapi uwongo na wapi ukweli hivyo huwezi kunibabaisha mwenzako sibebi udongo wote nachekecha napata kidani.
 
Unawaza ngono tu.
 
Sijajua kama kuna watu wanayoa hizo nywele, lakini isiwe kigezo

Kama mtu una itikadi za kupelekewa moto hata usiponyoa utataka tu hiyo michezo ya kifirauni

Cha msingi ni mtoto wa kiume kujitambua na kuwa na mikazo, ukijilegeza legeza utaolewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…