Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

Tembea uone

Nanunua carton 450,000 within a few hours nimemaliza mzigo kwa 700,000 na hapo nauza Bei ya chini Ili mzigo utoke chapchap

Ni mwendo wa kucheza na fast moving products na wholesalers only
Mkuu tafadhali ainisha basi kwa sisi tunaojitafuta tuingie huko.
 
Carton za kitu gani mkuu unamaliza fasta bila additional cost
Tembea uone

Nanunua carton 450,000 within a few hours nimemaliza mzigo kwa 700,000 na hapo nauza Bei ya chini Ili mzigo utoke chapchap

Ni mwendo wa kucheza na fast moving products na wholesalers only
 
Tembea uone

Nanunua carton 450,000 within a few hours nimemaliza mzigo kwa 700,000 na hapo nauza Bei ya chini Ili mzigo utoke chapchap

Ni mwendo wa kucheza na fast moving products na wholesalers only
Carton za nini hz unanunua
 
Kvp brow mbn tunatamanishana wakati tunafanyabiashara hata laki mbili hatupati kwa mwezi
 
Njoo na hiyo 10m. Mimi utanilipa consultation fee na kazi ya supplying mzigo ni yangu. 150 to 200k profit per week ni uhakika
 
Naomba namba mkuu, udhamini upo kama utakuwa na wasiwasi. Kuna biashara ya mazao, unapiga pesa hatari, pia nina wazo zuri milioni 5 ndani ya miezi 4 unapata milioni 22 wastani wa chini.
 
Naomba namba mkuu.uzamini upo kama utakuwa na wasiwasi.kuna biashara ya mazao,unapiga pesa hatari,pia ninawazo nzuri milioni 5ndani ya miezi 4unapatamilion 22 wastani was chini
Kiongozi weka wazo tu hapa public, Huu Uzi una watazamaji wengi ni wanaufatilia unaweza kukuta na wengine wengi Wana huo mtaji ila wanafatilia kupata wazo hapa.

Unaweza kuweka ideas watu wakapenda wanakutafuta PM. Wasaidie wengine pia wapate mawazo chanya.
 
Kabla ya kumpa wazo tunasaini mkataba, ni huge project, sisi tunalala pesa inaingia, ila ni baada ya muda flani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…