Kijana mwenzangu focus na kilichokuleta mjini, mambo ya mjini waachie watu wa mjini

Kijana mwenzangu focus na kilichokuleta mjini, mambo ya mjini waachie watu wa mjini

Ina maana nisiende kidimbwi kwenye Zombi night na wavuvi kunywa bia weekend = NO
Unamaanisha nitulie sas hivi kisha nije kuanza ku party nikishakua na watoto , mda huo sitaweza kwenda nao viwanja nitakua nimetulia home na mke wangu
 
hii ndio bongo dar es salaam, jiji lenye watu wengi waliochanganyikiwa na maisha.
 
Back
Top Bottom