moi wa kitaa JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 931 Reaction score 940 Aug 1, 2023 #21 Watu wa mjini ndio watu wa wapi mzee
Koffi Annan JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 1,771 Reaction score 5,087 Aug 1, 2023 #22 Ina maana nisiende kidimbwi kwenye Zombi night na wavuvi kunywa bia weekend = NO Unamaanisha nitulie sas hivi kisha nije kuanza ku party nikishakua na watoto , mda huo sitaweza kwenda nao viwanja nitakua nimetulia home na mke wangu
Ina maana nisiende kidimbwi kwenye Zombi night na wavuvi kunywa bia weekend = NO Unamaanisha nitulie sas hivi kisha nije kuanza ku party nikishakua na watoto , mda huo sitaweza kwenda nao viwanja nitakua nimetulia home na mke wangu
CHANANJA DYNASTY JF-Expert Member Joined Sep 14, 2024 Posts 772 Reaction score 1,121 Oct 3, 2024 #23 dar raha sana,dar kama kioo tu.
CHANANJA DYNASTY JF-Expert Member Joined Sep 14, 2024 Posts 772 Reaction score 1,121 Feb 7, 2025 #24 hii ndio bongo dar es salaam, jiji lenye watu wengi waliochanganyikiwa na maisha.