Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Humu Wengi Wanadaiwa Songesha, nipige tafu, Salary Advance, n.k
Wanaendekeza Uchawi na Wizi.
Nilimkaribisha mwana Jf mmoja geto kaniibia Buku 3 yangu, ana lijihirizi linapumua shingoni.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Masikini ndio huwa wanaweka hela benk, matajiri wanaenda kuzichukua na kuanzisha miradi!! endelea na ujinga wa kuwatajirisha kina Abood.
 
Masikini ndio huwa wanaweka hela benk, matajiri wanaenda kuzichukua na kuanzisha miradi!! endelea na ujinga wa kuwatajirisha kina Abood.
Kuwa na hela bank haimaanishi huna assets nyengine. Ina maanisha una liquidity kwa opportunity itakayojitokeza.

Unadhani huyo tajari mwenye assets unazofikiria ana laki 4 tu benki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…