Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Yani badala ya kuizungusha pesa unawapa bank mtaji wafanyie biashara?
 
Mimi huwa siwekagi Akiba benki kiasi kikubwa Hela zote naingiza kwenye kuwekeza na kununua Asset, huwa napata ugumu wa kuacha hela zangu nyingi benki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…