Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

kwa umri wako that's very nice amount,
never give up, always aim higher you can make it even bigger and more better 🐒
 
Hiyo nayo ni pesa ya kuionyesha hapa kweli!? Wahaya mkisha chukua mikopo huwa mna sumbua sana.
 
Bank wezi, wanashirikiana na serikali ya CCM kuweka makato HARAMU. Akiba zetu tunaweka nyumbani ndugu
 
Money speaks one language if you save me today I will save you tomorrow.

Hongera kwa akiba ila hio pesa ungewekeza sehemu ikuletee faida na uwe na emergency fund hata 10m. Ungekuwa mbali sana.

Alafu by the way hivi nmb app siku hizi wanaruhusu screen shot haina maana kupost picha kuonesha watu kwamba unahela kiasi gani,kuna watu wanahela kibao lakini hawapendi kelele.
 
.....Keeping money in Bank is burning your pocket...invest in asserts..kwa mujibu wa Guru wa uchumi Robert Kiyosaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…