Kijana ambao tunaitafuta 40 na wale ambao wapo kuanzia 40 ..na tayari upo kwenye ndoa au unaishi na mwanamke kama familia na mna watoto jifunze kuelewa kwamba age kama hiyo kufanya divorce ni kukosa ukomavu wa akili .
Taarifa za RITA zinaonesha divorce ya vijana imekuwa kubwa hii inatafsiri vijana hawana maturity na waliingia kwenye familia bila utimam wa akili
Una kuta mtu ana 50 halaf ana divorce !!!! age kama hii Una divorce nini , unaenda wapi ,kuna matatizo mengi ya mental issue kwa vijana wa 40 to 50 hawa ndio wana rate kubwa ya divorce
! Siku hizi watoto wengi ni mayatima hali ya kuwa wazazi wapo dunia bado , what a shame
Watoto wanalelewa na wababa na wamama tofauti hali ya kuwa wazazi wao wapo hai
Mtoto anapanga kuonana na baba au mama yake restaurant kisa wazaz waliachana ….… What a shame
psychologically development ya mtoto inakuwa effective endapo anakuja home na kuwaona wazaz wote wawili
Age kama hizo unatakiwa kuandaa uzao wako uwe bora , wewe unaenda kudivorce ili iweje na watoto wakalelewe na nani ?
Vijana wa 40 plus muelewe kuwa family comes first na mjifunze kuelewa umuhimu wa watoto wanaoishi na wazaz wote
40 years ni age of wisdom and maturity ; ukiacha at this age , kuna chances una afya ya akili na haujui kuwa una afya ya akili
Ego pia ni afya ya akili
Kwa ndoa nying nilizoona na kuzishuhudia zikiachanika,
nyingi wanaume ndio tuna tatizo.
Kwenye ndoa 7 za watu wangu wa karibu walioachana.
5 wanaume ndio wana makosa.
1 mwanamke alichepuka na akanaswa na mumewe.
1 mwanaume alikosa kazi na mwanamke akamkimbia.
Sasa hizi 5 ni Sisi wanaume ndio tunaleta visa na kumfanya Mke avumilie ila baadae anaona amevumilia vya kutosha. Anaacha ufanye unachotaka. Na siku ukiamua kuachana nae. Na yeye anakuwa na roho nyepesi kuachia ndoa.
Mfano, kaka yangu kabisa. Jan 2026. Kaachana na mke wake.
miaka 2 nyuma alikuwa na nyumba ndogo na watu weng wakawa wanajua ila mke hakuwa anajua.(Mke mdogo alishiriki na sisi msiba na sherehe moja ya kifamilia) mke mkubwa alikuwa marternity. Na jamaa bila aibu akamtambulisha kwa watu baadhi.
Mke Akaja kupata taarifa. Nyumba ndogo tayar na yenyewe imejifungua mtoto.
brother alikuwa anaweza kukaa miez 2 hajaenda kumuona mke wa ndoa wala kuonana na watoto.
Mke wa ndoa kumuuliza jamaa. Nasikia hivi na hivi. Jamaa akasema eeh ni kweli na nataka tuachane.
Basi mke karidhia.
All in all. Hoja yangu ni kuwa Ndoa nyingi anayezivunja ni Mwanaume.
Tukiwa Wanaume jasiri na wenye kuheshimu ndoa zetu. Hizi Talaka zitapungua kwa kiwango kikubwa.