Kijana, talaka ukiwa na Umri zaidi ya miaka 40 ni kukosa maturity

Unahudhuria sherehe ya harusi halafu wanaanza kuuliza wengine kuwa 'utaona lini na ww'....yaani ni swali la kizushi sana sababu ya mihemko ya tukio la harusi.
Sasa tutakukuta wapi ili tukuulize 🤣🤣 huwezi kumkuta mtu anabeba zege uanze kumuuliza mambo ya kuoa au ufike harusini uanze kuongea habari za msiba. Hakuna mahali pengine unaweza kuuliza swali kama hili casually
 
Imekaa kimihemko sana..na ndio chanzo cha kuingia mkenge Kwa baadhi ya watu. Mipango ndio njia sahihi
 
Sasa na wewe muoaji ukihaemuka kwa sababu ya harusi ya mwenzio ndio utajua wewe kumbuka sisi tunaokupush kuingia ndoani siku ukiingia yakakushinda tutakucheka 😁
 
Daah! Akili kumkichwa hapa. Ukizubaa kesho tu unaweza itisha kamati ya harusi
 
Back
Top Bottom