KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Maturity
Ni hali ya mtu kufikia kiwango cha juu cha ukomavu wa akili na matumizi sahihi ya akili katika kuyaendesha, kuyapanga na kutafakari kwa kina juu ya mambo yanayomzunguka!!!
Mtu akifika kwenye maturity peak inaaminika kuwa matumizi yake ya akili yanakuwa juu kwenye kutatua, kurekebisha na kuendesha mambo yake kuliko hisia au mihemko!!
Mtu ambaye ni matured mara nyingi kama sio zote hufanya mambo kulingana na faida ya jambo kwenye maisha yake na huachana na majambo yale yanayoonekana kuwa hayana faida kwake!!
Ukiwa matured enough utajua kuwa kuna tofauti kubwa kati ya KUVUMILIA na KUNG'ANG'ANIA.........
Unaweza kujiona unavumilia kumbe unang'ang'ania na kawaida anayevumilia hawi kero kwa anayemvumilia lakini anayeng'ang'ania anakuwa kero kwa anayemng'ang'ania