Niko bye kaka. Vipi hali yako?Upo poa
Nipo radaa kakaNiko bye kaka. Vipi hali yako?
Chunga sana mkuu, si unakumbuka kipindi kile wale wahuni walikuwekea kitu kwenye kinywaji.Nipo radaa kaka
Tatizo mnashindwa kuelewa mwanamke akivuka 40 anakuwa tofauti kidogoWakichomana mioto kwa mikaa mnakuja kuwalaumu kwa nini walikua wanang'ang'aniana ilhali wangeachana mauaji yasingetokea
Mwanaume WA Kwanza kusema ukweli, embu nipe lipa namba nikununulie wine ushushie ndugu yanguKwa ndoa nying nilizoona na kuzishuhudia zikiachanika,
nyingi wanaume ndio tuna tatizo.
Kwenye ndoa 7 za watu wangu wa karibu walioachana.
5 wanaume ndio wana makosa.
1 mwanamke alichepuka na akanaswa na mumewe.
1 mwanaume alikosa kazi na mwanamke akamkimbia.
Sasa hizi 5 ni Sisi wanaume ndio tunaleta visa na kumfanya Mke avumilie ila baadae anaona amevumilia vya kutosha. Anaacha ufanye unachotaka. Na siku ukiamua kuachana nae. Na yeye anakuwa na roho nyepesi kuachia ndoa.
Mfano, kaka yangu kabisa. Jan 2026. Kaachana na mke wake.
miaka 2 nyuma alikuwa na nyumba ndogo na watu weng wakawa wanajua ila mke hakuwa anajua.(Mke mdogo alishiriki na sisi msiba na sherehe moja ya kifamilia) mke mkubwa alikuwa marternity. Na jamaa bila aibu akamtambulisha kwa watu baadhi.
Mke Akaja kupata taarifa. Nyumba ndogo tayar na yenyewe imejifungua mtoto.
brother alikuwa anaweza kukaa miez 2 hajaenda kumuona mke wa ndoa wala kuonana na watoto.
Mke wa ndoa kumuuliza jamaa. Nasikia hivi na hivi. Jamaa akasema eeh ni kweli na nataka tuachane.
Basi mke karidhia.
All in all. Hoja yangu ni kuwa Ndoa nyingi anayezivunja ni Mwanaume.
Tukiwa Wanaume jasiri na wenye kuheshimu ndoa zetu. Hizi Talaka zitapungua kwa kiwango kikubwa.
Nipo standby kama generatorChunga sana mkuu, si unakumbuka kipindi kile wale wahuni walikuwekea kitu kwenye kinywaji.
Safi kabisa. Ulinzi ni kitu cha msingi sana kaka.Nipo standby kama generator
Yote uliyoyaongea yana njia mbadala.kuyakwepa hata bila kuachana mkuu..!!-Kwenye hatarisho la kufa?
-Mkiona ndugu wa damu bila kujua?
-Mikishindwa kupeana u-house kwa muda hadi sheria ikagoma?
-Mmoja kuiasi ndoa?
-Maumbile/maumbo kushindwa kutimiza haki za kindoa?
Hapo utafanyaje na umri wako?
Zieleze.Kwa mfano ukigundua umeoana na ndugu wa damu.Yote uliyoyaongea yana njia mbadala.kuyakwepa hata bila kuachana mkuu..!!
🤣🤣🤣🤣Wakija kuuwana utasikia sasa kwanini wasingeachana tu kwa amani.
Dah mwanangu hii kweli lazima muachane ila sio hizo zingineZieleze.Kwa mfano ukigundua umeoana na ndugu wa damu.
Divorce inafaa umri upi mkuu?
Binadamu sisi hatuna jema. Basi tu, lawama muda wote. Anyway, talaka itoke pale inapobidi kuepusha vifo na changamoto ya Afya ya akili.Wakija kuuwana utasikia sasa kwanini wasingeachana tu kwa amani.
Unahudhuria sherehe ya harusi halafu wanaanza kuuliza wengine kuwa 'utaona lini na ww'....yaani ni swali la kizushi sana sababu ya mihemko ya tukio la harusi.Ukiona mtu yuko 50+ ana divorce we mwache tu, muwe mnawasema hawa watu wa 20s wanaongia kwenye ndoa kwa mihemuko wanaishia kukaa mwaka mmoja
Kwa nn wanawake wengi hulalamika kuwa hakuna wanaume waoaji ijapokuwa kutoolewa ni uwanja salama kuwa free kimanyanyaso ya Mwanaume?Ni watu wachache wenye ukomavu wa akili tu ndio wanaoweza kukiri mapungufu ya gender zao.
Mi huwa nawaambia watu matatizo ya ndoa ni yale yale tangu zilipoanzishwa hizo ndoa,tusipretend kuwa ndoa zimeanza kusumbua kizazi hiki, tofauti ni kwamba wanawake wa kizazi hiki uvumilivu wa kuvumilia ujinga umepungua kwa kwa asilimia karibu 80.