Hili swali lako hasa ndio linatoa jibu kwa nini ukiona mtu ana divorce umri huo muache tu. Kwa sababu hata huyo mhusika anakuwa amejiuliza hilo swali karibu mara 50, kama baada ya kujiuliza bado ameamua kuachana na mwenza wake we mwache tu50 una divorce unaenda wapi ?
Nafikiri binti hakuwa tayari kudumu kwenye ndoa hivi karibuni nime mkuta kachakaaa ananitamani tenaThat was resoanablr But why
Ulioa kwa makalio au sura mzee baadae mtoto akaanza makanjanja?
Ndo mana mnakufa mapema
Divorce ni salama kuliko kuuana
Kua uyaone.!Kwa uelewa wangu,mada ipo sahihi ikiwa itasomwa kwa utulivu wa akili na msomaji awe na nia ya kuielewa.
Ikiwa baba wa familia ana miaka 40+ obviously alioa akiwa na 28/30 so kuishi na mtu miaka 10+ na usijue namna ya kumu-handle huko ndiyo kutokukua kwenyewe kiakili.
Kuna mzee wng mmoja aliwahi nambia kwamba ukiona ndoa imedumu sana ujuwe mume kaamua kujifanya bwege..Kijana ambao tunaitafuta 40 na wale ambao wapo kuanzia 40 ..na tayari upo kwenye ndoa au unaishi na mwanamke kama familia na mna watoto jifunze kuelewa kwamba age kama hiyo kufanya divorce ni kukosa ukomavu wa akili .
Taarifa za RITA zinaonesha divorce ya vijana imekuwa kubwa hii inatafsiri vijana hawana maturity na waliingia kwenye familia bila utimam wa akili
Una kuta mtu ana 50 halaf ana divorce !!!! age kama hii Una divorce nini , unaenda wapi ,kuna matatizo mengi ya mental issue kwa vijana wa 40 to 50 hawa ndio wana rate kubwa ya divorce
! Siku hizi watoto wengi ni mayatima hali ya kuwa wazazi wapo dunia bado , what a shame
Watoto wanalelewa na wababa na wamama tofauti hali ya kuwa wazazi wao wapo hai
Mtoto anapanga kuonana na baba au mama yake restaurant kisa wazaz waliachana ….… What a shame
psychologically development ya mtoto inakuwa effective endapo anakuja home na kuwaona wazaz wote wawili
Age kama hizo unatakiwa kuandaa uzao wako uwe bora , wewe unaenda kudivorce ili iweje na watoto wakalelewe na nani ?
Vijana wa 40 plus muelewe kuwa family comes first na mjifunze kuelewa umuhimu wa watoto wanaoishi na wazaz wote
40 years ni age of wisdom and maturity ; ukiacha at this age , kuna chances una afya ya akili na haujui kuwa una afya ya akili
Ego pia ni afya ya akili
Ni watu wachache wenye ukomavu wa akili tu ndio wanaoweza kukiri mapungufu ya gender zao.Kwa ndoa nying nilizoona na kuzishuhudia zikiachanika,
nyingi wanaume ndio tuna tatizo.
Kwenye ndoa 7 za watu wangu wa karibu walioachana.
5 wanaume ndio wana makosa.
1 mwanamke alichepuka na akanaswa na mumewe.
1 mwanaume alikosa kazi na mwanamke akamkimbia.
Sasa hizi 5 ni Sisi wanaume ndio tunaleta visa na kumfanya Mke avumilie ila baadae anaona amevumilia vya kutosha. Anaacha ufanye unachotaka. Na siku ukiamua kuachana nae. Na yeye anakuwa na roho nyepesi kuachia ndoa.
Mfano, kaka yangu kabisa. Jan 2026. Kaachana na mke wake.
miaka 2 nyuma alikuwa na nyumba ndogo na watu weng wakawa wanajua ila mke hakuwa anajua.(Mke mdogo alishiriki na sisi msiba na sherehe moja ya kifamilia) mke mkubwa alikuwa marternity. Na jamaa bila aibu akamtambulisha kwa watu baadhi.
Mke Akaja kupata taarifa. Nyumba ndogo tayar na yenyewe imejifungua mtoto.
brother alikuwa anaweza kukaa miez 2 hajaenda kumuona mke wa ndoa wala kuonana na watoto.
Mke wa ndoa kumuuliza jamaa. Nasikia hivi na hivi. Jamaa akasema eeh ni kweli na nataka tuachane.
Basi mke karidhia.
All in all. Hoja yangu ni kuwa Ndoa nyingi anayezivunja ni Mwanaume.
Tukiwa Wanaume jasiri na wenye kuheshimu ndoa zetu. Hizi Talaka zitapungua kwa kiwango kikubwa.
Ni watu wachache wenye ukomavu wa akili tu ndio wanaoweza kukiri mapungufu ya gender zao.
Mi huwa nawaambia watu matatizo ya ndoa ni yale yale tangu zilipoanzishwa hizo ndoa,tusipretend kuwa ndoa zimeanza kusumbua kizazi hiki, tofauti ni kwamba wanawake wa kizazi hiki uvumilivu wa kuvumilia ujinga umepungua kwa kwa asilimia karibu 80.
Wakati unaoa hukuona kuwa upo kwenye toxic relationship?Stupid thread. Kwa hiyo, watu wabaki kwenye toxic marriages hadi wafe, eti kisa wana 40 years?!
Maisha yanapaswa pia kuongozwa na natural, inborn instincts lakini cha kushangaza instincts hizo hizo ambazo zinamsukuma mtu kujilinda na kutafuta amani, nyie mnaziita “mental illness.
Kama unataka kufa siku si zako kaa kwenye marriage mbovu
Ngoja nikutolee mfano mmoja hapa.Hili swali lako hasa ndio linatoa jibu kwa nini ukiona mtu ana divorce umri huo muache tu. Kwa sababu hata huyo mhusika anakuwa amejiuliza hilo swali karibu mara 50, kama baada ya kujiuliza bado ameamua kuachana na mwenza wake we mwache tu
Ni kweli shida huanzia kwa wanaume
Mwanaume mwenye utimamu hata kama anapiga nje atajitahidi siku zote kumuheshimu mke na kuhakikisha hajui mambo hayo
Hata sisi tunachepuka mara moja moja kwa tahadhari sana , kwanza unawapima HIV na Hepatitis kisha una enjoy nae kiana but unamuweka wazi I am married . Ni kweli wapo wanawake wanavutia snaa but family comes first
Kwa gharama yoyote hakikisha wife ha sniff mambo kama hayo . Yaani hata kama nipo juu ya kifua mke wangu akinipigia simu njoo home mara moja
Muda huo huo navaa nguo na kuondoka, mwanamke alienizalia watoto, kuwakazania kwenye elimu na maadili nitasujudu kwake . Hakuna kitu muhimu kama kuwa nq familia bora
Mwisho wa siku hata uzeeni watu hujivunia familia bora kama mzee lowasa vile
Mwanamke ndio anachances kubwa za kufanya your family kuwa bora au ya hovyo , watoto wawe bora au wa hovyo
Mambo ya kuwa na watoto wengi na kila mtoto Ana mama yake sio poa kwa stability ya familia bora