Kijana, talaka ukiwa na Umri zaidi ya miaka 40 ni kukosa maturity

Kijana, talaka ukiwa na Umri zaidi ya miaka 40 ni kukosa maturity

Ukisimama nchale, ukikaa nchale, ukikimbia nchale ni nchalee tu ndoa zimekua fukuto balaa mmh ambao hamjaoa karibuni sana mjionee mnafikiri ni mambo ya Angelo na Inna eh karibuni.

NB: Miaka 40 ni ankola, 30 tu kashakua anko sio kijana tena
 
Nadhani haya maswali unatakiwa umuulize mtoa mada
Hapana. Ni mifano halisi ya watu ninaowajua. Wa karibu kabisa.

Na guess what.
ndoa iliendelea.

Kwahiyo Mwanamke kuamua kubaki kwenye ndoa ya namna hii amefikiria mengi.
Na ndio Hoja ya mtoa mada.
Kwamba kuna umri ukifika , Talaka itakurudisha nyuma zaidi .
 
Ok naona nilisoma comment yako nikiwa nasinzia. Unachotakiwa kujua ni kuwa binadamu tunatofautiana sana na kila mtu ana msitari wake ambao ukiuvuka tu you are gone. Kwenye suala la kiwanja inategemea ila huo mfano wa pili eti tunakaa nyumba ya kupanga au kwao mwanaume kisha nagundua ana familia nyingine ambayo ameijengea nyumba haikubaliki.
 
ila huo mfano wa pili eti tunakaa nyumba ya kupanga au kwao mwanaume kisha nagundua ana familia nyingine ambayo ameijengea nyumba haikubaliki.

Mwanaume mpumbavu ndio anaweza jengea mchepuko bila yeye kujengea kwanza Mke wake na watoto.

Mna nyumba yenu. Watoto wamekua. Mnasomesha. Mna miaka 55+. Na ukagundua mume wako kazaa nje na amemjengea nyumba huyo nyumba ndogo.
Utadai talaka?.

Nakuuliza haya kwa sababu nina mifano hai.

NB:-
Ukiwa na nyumba ya Kupanga. Unaanzaeje kuzaa nje?. Sio sawa.
 
Mwanaume mpumbavu ndio anaweza jengea mchepuko bila yeye kujengea kwanza Mke wake na watoto.

Mna nyumba yenu. Watoto wamekua. Mnasomesha. Mna miaka 55+. Na ukagundua mume wako kazaa nje na amemjengea nyumba huyo nyumba ndogo.
Utadai talaka?.

Nakuuliza haya kwa sababu nina mifano hai.

NB:-
Ukiwa na nyumba ya Kupanga. Unazaeje nje?. Sio sawa.
Niseme tu kuwa mimi sina ndoa, kwa hiyo feeling ya kusalitiwa kiukweli sielewi inakuwaje. Logically naweza kusema haina sababu ya kuomba talaka katika umri huo lakini sielewi maumivu yake yakoje hivyo nikiona mtu anadai talaka namuelewa tu maana utamu na uchungu wa ndoa yake anaujua yeye kuliko sisi wa nje
 
To be honest, nimekupenda bure.
Kwasababu umeongea uhalisia.

Be blessed.
 
Bora agongwe na Tajiri! Kosa unaloliona ni kugongwa na bodaboda.
Akigongwa na tajiri hauwezi kujua maana atakuwa anatafuniwa 5 * Hotel ila akigongwa na Bodaboda mtaa mzima wanajua ni mwendo wa risasi kidole ukipita ,si unajua vijiwe vya bodaboda wanavyohadithiana? Yaani kwa mdada uthithubutu ugongwe na bodaboda ukajua ni siri yaani vijiwe vyote wanajua kama ulitafunwa.
 
Una kuta mtu ana 50 halaf ana divorce !!!! age kama hii Una divorce nini , unaenda wapi ,kuna matatizo mengi ya mental issue kwa vijana wa 40 to 50 hawa ndio wana rate kubwa ya divorce
Kama umekamatia mke analiwa na mwanaume mwengine unawapa ushauri wa kubaki au kuvunja ndoa?.
 
Back
Top Bottom